Ukombozi daima: Kongamano la katiba mpya tanzania 2011 - udsm

Ukombozi daima: Kongamano la katiba mpya tanzania 2011 - udsm

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,304
Reaction score
432
Wapambanaji; Ukombozi unaendelea kutenda kazi na nchi lazima ikombolewe kutoka ktk kada na ngazi zote, na hasa kupitia Katiba mpya!



Kwa hili, Nguvu ya Umma itashida daima. Kongamano hili la Katiba UDSM, ni muhimu sana kwa wale wanaoweza kuhudhuria na kuchangia ili kujenda dira, uthabiti na mwelekeo halisi wa Katiba yetu mpya kwa Taifa letu jipya. Vinara walio weledi kwa siasa za kweli na zenye tija na dira (Jen Ulimwengu na Prof Issa Shivji) wataitekeleza kazi ya Umma ktk Kongamano hili, na kuwajengea wanachi uelewa zaidi wa kile kitakachofuata ktk kuandaa Katiba Mpya ya Taifa letu jipya. Tunawafahamu vyema hawa na uwezo wao uliotukuka ktk uchambuzi wa haki, hoja na kweli halisi za siasa ambavyo ni msingi wa Katiba yetu, tusikose kuwasikiliza au kushiriki pale inapowezekana. Taarifa zaidi ipo ktk tangazo la Kongamano chini:




KONGAMANO LA KATIBA MPYA TANZANIA 2011




JUMUIYA YA WANATAALUMA CHUO KIKUU CHA
DAR ES SALAAM (UDASA)


inawaletea:

KONGAMANO LA KATIBA

MADA KUU:

MCHAKATO NA MAUDHUI YA KATIBA MPYA

WAZUNGUMZAJI WAKUU:

1. PROFESA ISSA SHIVJI
2. NDG JENERALI ULIMWENGU

TAREHE: JUMAMOSI, 15 JANUARI 2011
UKUMBI: NKRUMAH, CHUO KIKUU CHA DSM
MUDA: SAA 4:00 ASUBUHI HADI SAA 8:00 MCHANA

WOTE MNAKARIBISHWA
 
Back
Top Bottom