Ukombozi kutoka kwenye Makucha ya Wakombozi Wetu.

Keykey

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Posts
3,251
Reaction score
747
Wakati tukishuhudia sarakasi ya demokrasia huko Zimbabwe; tunaona mifano ya viongozi waliojito muhanga kuzikomboa nchi zao na kujaribu kung'ang'ania madarakani hata pale wananchi wanapowachoka. Kizazi cha viongozi wa aina hii Africa ni kama Comrade Mugabe, Dosantos, Museveni, n.k.

Jambo wanalotakiwa kulifahamu ni kuwa wao ni mashujaa wa ukombozi na uhuru lakini vita ya uchumi katika dunia ya leo si fani yao.


For nearly a generation, Robert Mugabe has loomed large over southern African politics. (AP/Xinhua/Liu Xin)

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…