Abdi kassimu
Member
- Jul 25, 2022
- 7
- 2
Ni zipi adhari na FAIDA za mitandao ya kijamii kwa jamii...
Jamii ni Nini: Ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu.
Haitaji kila kitu ambacho mtu anafikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu.
Mitandao: Ni huduma ambapo watu huongea, au hujumuishwa pamoja na watu wengine aidha ndani ya nchi au ulimwenguni kote.
Mitandao ya kijamii: Mitandao ya kijamii ni wavuti au huduma ambapo watu huongea, au hujumuishwa pamoja na watu wengine aidha ndani ya nchi au ulimwenguni kote. Huduma ya mitandao ya kijamii inaweza kuunganisha watu wenye shauku/mapenzi ya aina moja (kama vile mpira wa miguu, shule, ndondi, vyakula vya aina mbalimbali, filamu, dini na kadhalika) pamoja na urafiki.
Sehemu kubwa ya mitandao ya kijamii inakupa fursa ya kutengeneza taarifa zako katika ukurasa wako ikiwa ni pamoja na picha na maelezo kiasi kuhusu wewe mwenyewe, hasa yale ya msingi: unaishi wapi, una asili ya wapi, elimu, unapenda nini na kadhalika
Watu wengii Duniani wamekuwa bizee na mitandao ya kijamii ingawaa IPO na inafaida na madhara yake kwenye jamii zetuu zinazotuzunguka:
Zifuatazoo ni FAIDA za mitandao ya kijamii kwenye jamii
1. Kupashana habarii: moja Kati ya kazi kubwa ya mitandao ya kijamii ni kupashana au kupeana habarii Kati ya mtu na mtu au jamii na jamii Fulani kwenye mazingira yanayotuzunguka na Yale ya mbali zaidii mfano Facebook,whatsap na Instagram kupeana habarii katika nyanja zotee.
2. Kurahisha kazi. Mitandao ya kijamii inarahisisha kazii BAINA mfano leo tunaona computer kazi ambayoo ilikuwa ifanyikee na watu zaidi ya wawili inafanywa kwa muda mchacheee na mtu mmoja Tuu au wawili Tuu
3. Kurahisisha muda: muda au wakati ni muhimu Saana kwenye jamii leoo mitandao ya kijamii imerahisisha saana mfano barua kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine leoo simu imerahisisha badala ya kupeleka barua ya siku tatu mpaka nne njiani ila kwa siku mojaa tuu na kwa mda mchacheee.
4. Kurusha au kupeperusha matangazo
Info jobs, Jobtalent au Linkedln ndio milango inayotumiwa sana kupata kazi. Shida za sasa za kutafuta kazi zimegeuza mitandao hii ya kijamii kuwa maonyesho halisi ya kutangaza ujuzi wetu wa kitaalam.
5. Kusaidiana kubadilishana ujuzi.
Kujifunza lugha, kufundisha biashara kwa kubadilishana na mwingine au kushiriki burudani ni tabia nyingine ambayo imeruhusu njia mpya ya kujumuika.
6. Mradi wa biashara
Kampuni hizo wanaweza kuwasiliana na wateja watarajiwa, wagombea wanaowezekana au kutoa mwonekano mkubwa kwa bidhaa, ambayo hutoa kwa njia bora zaidi.
7. Kuweka uwazi
Mitandao ya kijamii labda ndiyo njia ya mawasiliano ya uwazi na ya ulimwengu kuliko zote, kwani hakuna vizuizi vya kijamii au kitamaduni vinavyozuia matumizi yao.
Katika jamiii hakuna KITu chenye FAIDA pekee Bali katika FAIDA piaa yapo madhara yakee haswa kwenye matumizii na utendajii . Haya hapa madhara ya mitandao ya kijamii kwenye jamii inayotuzungukaa.
1. Faragha.Kwa kweli ni wasiwasi wako wa kwanza kama mtumiaji. Kuwa wazi sana, haijulikani ni wapi mipaka iko katika faragha yetu.
2. Udanganyifu. Inahusiana na nambari nambari 1. Lazima tuwe waangalifu sana na habari tunayoshiriki (maelezo ya benki, maeneo) na jaribu kubadilisha nenosiri la akaunti mara kwa mara ili kuepuka wizi wa kitambulisho, kati ya zingine.
3. Mawasiliano ya kibinafsi. Kuwa njia nzuri ya mawasiliano na ya sasa kwenye vifaa vya rununu, mara nyingi wananyanyaswa, kupoteza ustadi wa kijamii ambao huonyesha mwanadamu.
MWISHO
MITANDAO YA KIJAMII INA SIFA NA UMUHIMU MKUBWA HASWA KWENYE MAMBO MAWILI 1. KURAHISISHA KAZI 2. KIUNGANISHI KATI YA JAMII NA JAMII AU MTU MMOJA NA MWINGINEE. MITANDAO YA KIJAMII INA 95%YA FAIDA ZAKE KWA JAMIII
HITIMISHO.
DUNIA SASA NI KAMA KIJIJI KUTOKANA NA MITANDAO YA KIJAMII" KUUNGANISHA BAINA YA MTU NA MTU AU WATU NA WATUU KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII
USHAURI
MITANDAO YA KIJAMII INGEFAA KUTUMIWA NA MTU MWENYE UMRI WA KUANZIA MIAKA 18 NA KUENDELEAA HII ITASAIDIA KUPUNGUZA DUNIA KUPOTOKA NA KUHARIBIKA KWA JAMII
√ UKOMBOZI . NI UMUHIMU WA MITANDAO YA KIJAMII.
√ UHARIBIFU . NI MADHARA YA MITANDAO YA KIJAMII.

Upvote
1