English Learner
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 356
- 357
Hivi karibuni nimekuwa mfuatiliaji wa mambo ya ulimwengu wa Roho. Katika lulu ambazo nimepata kuzijua ni Mtumishi wa Mungu, Askofu Elibariki Sumbe msimamizi wa Kanisa la Vuka Yordani lililopo Ngaramtoni, Arusha. Katika zama tulizomo moja ya changamoto kubwa ni kuwatambua Watumishi wa Mungu wa kweli. Na Biblia imetuagiza kuzijaribu roho kabla ya kuziamini.
Binafsi nimeridhika na Mungu wa Askofu Sumbe na jinsi ambavyo anatoa huduma bila kuvutiwa na mambo ya mwili (fedha, mali, n.k). Nakualika wewe mwenyeji wa Morogoro na maeneo jirani tukale neno na kupokea uponyaji ENEO LA KINGOLWIRA. Askofu Sumbe atakuwa hapa kuanzia leo mpaka tarehe 6/12/2020