kwa mazingira ya tanzania na uongozi tulionao, hii haitawezekana kwa sasa. Ni serikali ambayo bora chuo kikuu kife ila tu wapeleke hela uswisi. wasomi wanaovalisha mbwa bendera ya chama ha upinzani ni chama ambacho kimeishiwa sera kusema kweli. ccm imekufa kabisa