Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Kwa Wapenda Amani Duniani wakiwemo Vioongozi wa Nchi za Kiislam au zenye waislam wengi na wacheche waache uongo mara moja Dunia imechoka na uongo ambao unasababisha kutokuwepo na Amani... news za vifo zinachosha.. issue ni kwa Iblis ndio anatusumbua mno... kawashika watu kawajaza uongo wapo tayari kutoa uhai wao kwa kushikilia uongo ulio tukuka.
Jerusalem hii hii haijawahi kuwa eneo takatifu la waislam kamwe na haitokuwa kamwe.. even Quran ambayo inasemekana ni Maneno ya Allah haijawahi sema wala kuelezea kuwa Jerusalem ni for Muslim zaidi imeeleza wazi kuwa ni Holly land for Wayahudi na imewataka wasiliachie kwa maadui watakao kumbana nao hadi kiama. na aliwaahidi watawashinda waamudi zao, Ni ahadi baina ya Nabii Musa na Allah.. utashagaa watoto wa shetani wanapinga hadi misuli inawatoka
Quran 5:21 -
Enyi watu wangu!, ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni, wala msirudi nyuma kwa migongo yenu, msije mkageuka kuwa wenye hasara
Jerusalem Imekuwa Mji mkuu wa Israel tokea Mflame Daudi, miaka 3000 iliyopita na haijawahi kamwe kuwa mji wa taifa lolote duniani. Jerusalem iliingiliwa na Maadui Arabs Muslims wakiongozwa na Uthman mwaka 716 hata hivyo walisoma Quran hawakuigusa Jerusalem wakajenga Ramallah kama mji wao mkuu Jerusalem wakaitenga ikawa fukara. Watu wengi walioishi Jerusalem kuanzia miaka ya 1800 walikuwa ni wayahudi na sio Waislam, na hajawahi tokea mtu akadai Jerusalem ni mji mtakatifu wa Waislam, vitabu vitakatifu vya Wayahudi vimeitaja Jerusalemu mara 700, na Quran haijawahi kuitaja hata kwa bahati mbaya kuwa Jerusalem ni for Muslims.. tumechoka na Uongo wa Iblis.. hii inaonesha wasumbufu wametumwa na Iblis only kwa kubishana na Allah wa Quran... adhabu yao kiama wataijua vizuri..
Hata kuhusu Mtume wa Waislam Mohamad anayedaiwa kupaa kutokea Jerusalem kwenda Mbinguni katika Quran... kisha akashukia kutoka Mbinguni eneo lililo karibu na mbingu pale Aqsa ukisoma Quran inaonesha ni Ndoto kuwa alienda eneo la mbali ambalo ni Mbinguni na eneo la karibu ni Palestine na sio Jerusalem ambayo haijatajwa na Quran.
"Wakati Waarabu walipoidhibiti Jerusalem kuanzia 1948-1967, Jordan ilipoidhibiti, walijenga kila kitu cha umuhimu huko Amman, sio Yerusalemu," alisema. "Waliruhusu kuwa makazi duni. Hakukuwa na maji, hakuna umeme, hakuna mabomba huko. Waliharibu masinagogi 58 mashariki mwa Yerusalemu."
Akitoa wito kwa wasikilizaji wake kusaidia kukemea uwongo huo, Klein alisema, "Lazima sasa tumuambie kila mtu: Sio eneo takatifu kwa Waislamu, inatosha kwa uwongo huu! Inatosha kwa uwongo eti eneo tunalikalia, hakuna kukaliwa, hii ni ardhi ya Wayahudi, inatosha. ya uwongo kwamba makazi ndio sababu hatuna amani makazi yanajumuisha 2% ya Yudea na Samaria, hakuna makazi mapya yaliyojengwa tangu 1993.
Akishutumu vyombo vya habari na viongozi wa dunia, aliongeza, "Yote tunayopata kutoka kwa vyombo vya habari, na hata kutoka kwa viongozi duniani kote, ni uongo, uongo na uongo kuhusu Israeli."
"Tofauti na wanasiasa, Mungu hutimiza ahadi zake. Na kwa msaada wa Mwenyezi Mungu na kwa usaidizi wa Jeshi la Ulinzi la Israeli, watu wa Kiyahudi katika ''Eretz Yisrael'' (Nchi ya Israeli) watashinda na watadumu milele," alihitimisha.
View: https://youtu.be/KPaRpZN1TZo