Ukomo wa madaraka CHADEMA ulizuia chama kukua. Sasa kimekua na kinahitaji ukomo wa madaraka

Ukomo wa madaraka CHADEMA ulizuia chama kukua. Sasa kimekua na kinahitaji ukomo wa madaraka

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakati anajiunga na chama hicho kulikuwa na ukomo wa miaka 10 kwa kiongozi kukaa madarakani, hivyo kukawa na ukosefu wa watu wenye uzoefu wa kuwaongoza wengine. Ila kwa sasa chama kimekua na kinahitaji mabadiliko kwenye ukomo wa madaraka kwenye uongozi.


Soma hapa kuhusu ukomo wa madaraka CHADEMA
 
Lisu yuko sahihi sana.

Mbowe must go
 
Back
Top Bottom