ROBIN ROBERT
Member
- Jan 22, 2011
- 6
- 0
Salaam,
Napenda kujumuika nanyi katika jambo ambalo linanikera mara kwa mara,haswa juu ya mali na ukomo wake,matumizi na hata utunzaji wake.
nilijaribu kuangalia fedha inayoweza kumtosha mtanzania wa kawaida na yule wa kati nilipata kigugumizi kidogo,japo nifanikiwa kufanya mahesabu na kwa kupitia nyaraka mabalimbali mbali yakiwemo magazeti nikapata jibu moja kuwa ZAIDI ya BILIONI MOJA katika akaunti ya mtu Haswa mwenye unri kama wangu au mdogo kiasi cha kuitwa mtoto anayechipukia huyu ni kujana wa miaka 20. Kama atakuwa na akaunti katika Banki yoyote ile na kiwango chake kiwe fedha halali za kitanzania BILIONI MOJA tu,anauhakika wa kuishi kwa kuto kufanya kazi yeyote ile kwa miaka 20 hivi na kila siku akitumia Kama laki moja tu. sasa maoni
KAMA UNA UMRI WA MIAKA 30-40 HAPO ONGEZA MIAKA 20 KAMA UNAFEDHA HIYO AMBAPO UTATUMIA HADI UFIKE TAKRIBANI MIAKA 50 - 60 BILA KUFANYA KAZI. SASA SWALI HAWA WATANZANIA WENZANGU WENYE UMRI WA KATI YA MIKA 50 NA KUENDELEA WANAPO LIIBIA TAIFA NASISI WENYEWE MABILIONI YA FEDHA WANATUTAKIA NINI WATANZANIA WENZAO?
PENDEKEZO LANGU SIJUI NIANZIE WAPI ILA NI KAMA IFUATAVYO UKIWA NA UMRI WA MIAKA 50 NA KUENDELEA UKITHIBITIKA UMEIBA ZAIDI YA BILIONI MOJA NA MILIONI MIA TANO UNYONGWE HADI KUFA ILI USISEME UNAMTAFUTIA MWANAO KWA SBABU KATIKA UMRI HUO LAZIMA MWANAO ATAKUWA AMEPATA JAPO KAAJIRA FULANI ANAKATUMIKIA ILI APATE CHOCHOTE KITU.INANIUMA KAMA NIMESEMA VIBAYA SAWA LAKINI NDO MAONI NA SALAAM ZANGU KWENU WANA JAMII KWA 2013.