brilliant me
Member
- Aug 1, 2024
- 29
- 37
Hujaeleza kwa kina. Ila ina wezekana kuna kipindi aliomba kuahirisha masomo. Je anasoma program gani hapo?GHabari zenu,k
Naomba mnijuze ukomo wa kusoma masters katika vyuo huria.
Nauliza maana ni miaka karibu sita sasa shemeji yenu anasoma tu hiyo elimu. Vikwazo vimekuwa vingi mno masters haiishi mpaka namuonea huruma.
Human resources ndio anachosomeaHujaeleza kwa kina. Ila ina wezekana kuna kipindi aliomba kuahirisha masomo. Je anasoma program gani hapo?
Yani hii ndio imuweke muda wote huo. Nilifikiri anafanya by Thesis kumbe ni coarse work Human resources. Kaa nae akueleze inawezekana alishaacha kusoma siku nyingi. Au ameunganisha PhD.Human resources ndio anachosomea
Kuna wengi wamedrop kwasababu ya tabia za hovyo za baadhi ya wahadhiri, wanawake wengi huombwa visivyoombekaNauliza maana ni miaka karibu sita sasa shemeji yenu anasoma tu hiyo elimu. Vikwazo vimekuwa vingi mno masters haiishi mpaka namuonea huruma.
Ni shida mkuu hata hapo Open kwenye Masters by Thesis or research only watu wanasoma mpaka miaka 6 Masters na wengine wanaamua kuacha kabisa.Kama anasoma UDSM inawezekana kupiga miaka hata 9. Wale jamaa ni wadzwanzi balaa hasa kama undergraduate hukusoma pale. Jamaa zangu wa ofisini wana huu mwaka wa 8, mwingine ameamua kuachana nayo kabisa.
Siku hizi watu wanakimbilia masters za kuokota kutoka vyuo kama IFM, IAA, CBE, Udom, Sauti nk. Vyuo vingi hapo wana masters za online unasoma mwaka mmoja umemaliza na kupewa cheti kimenyooka na GPA yako ya 32..Ni shida mkuu hata hapo Open kwenye Masters by Thesis or research only watu wanasoma mpaka miaka 6 Masters na wengine wanaamua kuacha kabisa.
Ni kweli mkuu kuna vyuo vingine unashaanga mtu mwaka 1 amehitimu master. Sijui tafiti zao zinakuaje.Siku hizi watu wanakimbilia masters za kuokota kutoka vyuo kama IFM, IAA, CBE, Udom, Sauti nk. Vyuo vingi hapo wana masters za online unasoma mwaka mmoja umemaliza na kupewa cheti kimenyooka na GPA yako ya 32..
View: https://youtu.be/hcLffSjBNlU?si=gIF10nvojotQ7uFL
Hii ni kweli kabisa! Wahadhiri wanatumia kigezo cha "wote ni watu wazima, wanaosoma na wanaosomesha"Kuna wengi wamedrop kwasababu ya tabia za hovyo za baadhi ya wahadhiri, wanawake wengi huombwa visivyoombeka
Kweli kabisa! Kuna jamaa yangu mmoja yeye kwao pesa ipo!Kama anasoma UDSM inawezekana kupiga miaka hata 9. Wale jamaa ni wadzwanzi balaa hasa kama undergraduate hukusoma pale. Jamaa zangu wa ofisini wana huu mwaka wa 8, mwingine ameamua kuachana nayo kabisa.
Nina mifano halisi ya wake za watu watatu mwingine ni mke wa rafiki wa mhadhiri, wamehama chuo kwenda kuanza upya sehemu nyingineHii ni kweli kabisa! Wahadhiri wanatumia kigezo cha "wote ni watu wazima, wanaosoma na wanaosomesha"
Na mtu hata haogopi kwamba huyu ni mke wa mtu...
Kweli inasikitisha!