mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
Na kabla ya mazishi wanaendelea na nafasi zao mpaka pale marehemu atakapo hifadhiwa?Mpambe ni mpambe tuu , anarudi home Kula mihogo may be hekima ya Raisi aliyepo madarakani imwangukie vyema , walinzi hao ni moja ya highly internal security .....wanarudi kwenye defence ya nchi , kitengo cha TISS au army ......nafkr hayo yapo kwenye mwongozo wa wanausalama
Mkuu Hilo sjui Kwa kweli , japo kimtazamo Tu wa kawaida inabd wawe naye mpak apotee kabisa machoniNa kabla ya mazishi wanaendelea na nafasi zao mpaka pale marehemu atakapo hifadhiwa?
Shida una simplify 😂, wakati mm natafuta kujua.Mkuu Hilo sjui Kwa kweli , japo kimtazamo Tu wa kawaida inabd wawe naye mpak apotee kabisa machoni
Hawakupata muda wa kumuuliza hayati unatuachaachaje?
[/QUOTE
Ugonjwa nisawa na Vita Sasa unaulizaje vitu Kama hiv ktk shida.
Marehemu alisema waangaliziwe nafasi.Hawakupata muda wa kumuuliza hayati unatuachaachaje?
Sawa mkuu, wengine watasaidiaShida una simplify 😂, wakati mm natafuta kujua.
Mpambe anarudi kwenye majukumu yake aliyokua nayo awali(jeshi) kabla hajachaguliwa kuwa mpambe. Na wale wengine wanasambaa walipotokea
Nafikiri mulungwa anastahili promotion ilinawe relevant huko jeshiniYule mwanajeshi anarudi jeshini ambapo baada ya muda tu atapandishwa cheo na kuwa Brigedia.
Wale walinzi na wasaidizi wake wote wakishatoka Chato after 2 weeks watarudi Ikulu, na kutokea hapo ndio watapangiwa vituo mbalimbali. Wengine wataendelea na Mama, wengine watarudi kitengo chao PSU, wengine watapelekwa kuwa mwambata ubalozini na wengine utawaona kwa VP mpya n.k.