Ukomo wa Mpambe na Walinzi wa Rais kisheria ikoje baada ya kifo?


Umemaliza
 
Maswali ya kijinga sana, sasa anayemlinda hayupo unataka abaki kufanya nini? Maana alitakiwa amalize nae na akistaafu ndio angesepa nae lakini kafariki hiyo ndio kwaheri otherwise anarudi kupangiwa kazi nyingine tu apumzike kama ukuu wa wilaya huko anatulia zake.
 
Zamani baadhi ya nchi walikuwa wanapimwa na Mfalme wakiwa hai
Hii nadhani waliweka kuongeza uwajibikaji kwa viongozi hawa
 
Kwa upeo wangu nadhani wakishazika tu ndo ukomo wa upambe wake utafika mwisho. Ngoja wajuvi waje na neno
Upo sahihi. Kazi yao kwa huyo kiongozi inatamatika baada ya mwili kushuka kaburini then watapangiwa viongozi wengine
 
Wewe unafikiri kwa kutumia masaburi kweli,unadhani hao wote waliokotwa tu kutoka kwenye vijiwe vya mateja? Muwe mnafikiria kwanza kabla ya kuja kupost humu, wote hao kabla ya kupewa jukumu la kuwa na Rais walikuwa na majukumu mengine ya kiserikali, wanatoka TISS au JWTZ.Unadhani ni watembeza mbogamboga hao? JF siku hizi imevamiwa na vitoto ni vigumu mno kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…