Hiki sio kichekesho lakini nimeona nikilete huku.
Napenda kujua ule ukoo au Jina la MBORO kama bado lipo na linaendelea kutumika na wahusika. Au wameona si vema kulitumia hasa katika mazingia ya tanzania.
Nadhani ni watu wa kimanjaro. je bado wapo wanaolitumia ?

Haha haa haaa, halafu moja kati ya salamu zao iko hivi: Nantombe Mboro yani haspo mtu anasalimiwa asubuhi hapo! Baa!
Acha zako, Kwa mazingira gani ya TZ hayo unayosema !!!! Hili jina lipo kitambo toka enzi ya Tanganyika !! Na linaendelea kuwepo na kutumika ipasavyo !!!
Na ninaamnini unachofikira pia kilikuwepo toka enzi hizooo za mwanzo wa dunia hii !!
Neno moja laweza kua na maana hata zaidi ya tano, na kutofautiana pale linapotumika tuu.
Mkuu najua nneo moja lina maana zaidi ya sita sababu hili neno MBORO moja ya maana yake ni sehemu nyeti. Wewe kamuite mtu kwa jina hilo kati kati ya watoto wa darasa la pili uone mshangao watakaokuwa nao.
Pia iliwai kuja timu ya ghanakucheza na Tanzania mwaka fulani nyuma kukawa na mchezaji anaitwa Abdel Kumaa. Mtangazaji wakiti huo Domick Chilambo RIP aliomba radhi kuwa hatolitumia jina lile la pili wakati anatangaza mechi. Unadhani ni kwa nini
Sikatai ni jina lakini kwelikwa kiswahili ni la ajabu kidogo
Teh teh teh
1.KASWENDE(MTWARA)
2.KISHI(TANGA)
3.KIMAVI(KIGOMA)
5.MBOONI(HII NI WILAYA KENYA)
6.NATOMBEKA(UPARENI)
NK
Tushishabikie kwa kuwa hizi ni coincidences tu
Haha haa haaa, halafu moja kati ya salamu zao iko hivi: Nantombe Mboro yani haspo mtu anasalimiwa asubuhi hapo! Baa!
Heshima kwako Mtazamaji,
Mkuu ni kweli kabisa wapo watu wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro walikuwa wanalitumia jina hilo Mboro kwa wanaume na wanawake Mamboro.
Siku hizi hawalitumii tena na ukikuta wanolitumia labda wazee wa zamani lakini wanawake mpaka leo bado utakuatana nao wanaitwa Mamboro.Matamshi ya wenyeji ni tofauti kidogo na matamshi ya kiswahili hata linavyoandikwa utadhani ni kiswidishi inakuwa na vidoti viwili juu ya herufi O ukitamkaa unakunja ulimi kwenye herufi ya mwisho.
Ukoo wa Mboro siku hizi wanaitwa Mboya wengine wanaitwa Kipokola.wengine wanaweza kuongezea.
sijui ni upande gani huu wa kilimanjaro lkn kwa upande ninaoufahamu mimi, hili jina ni la kinyumbani kwa wenye ukoo wa Maleko, na wanayatumia wakiwa wanatumia lugha ya kichaga na inawasaidia kutofautisha mwanamke na mwanaumeHeshima kwako Mtazamaji,
Mkuu ni kweli kabisa wapo watu wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro walikuwa wanalitumia jina hilo Mboro kwa wanaume na wanawake Mamboro.
Siku hizi hawalitumii tena na ukikuta wanolitumia labda wazee wa zamani lakini wanawake mpaka leo bado utakuatana nao wanaitwa Mamboro.Matamshi ya wenyeji ni tofauti kidogo na matamshi ya kiswahili hata linavyoandikwa utadhani ni kiswidishi inakuwa na vidoti viwili juu ya herufi O ukitamkaa unakunja ulimi kwenye herufi ya mwisho.
Ukoo wa Mboro siku hizi wanaitwa Mboya wengine wanaitwa Kipokola.wengine wanaweza kuongezea.
hiyo niloyoweka red ni hayo mayai mawili ya wanaume aka kordani.On top of that mashine ya kiume inaitwa mboo na sio mboro wala mb0l0.