Greetings to all great thinkers!!!
Nahitaji kuanzisha kitu kama kampuni au shirika fulani hivi kwa ajili ya ukopeshaji wa mikopo kwa wanajamii, naomba yeyote anayejua taratibu zinazotakiwa kufuatwa na kuzingatiwa anijuze kwa comment au kunipm au kwa namba zifuatazo:
0712 77 54 77 au
0758 33 40 40
0755 82 39 88 au email zifuatazo
david.peter40@gmail.com au
daudipeter40@yahoo.com