Freiston
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 302
- 340
Jaribu kuangalia hii makala iliyoandaliwa na chombo cha habari cha WION
. Tatizo langu halipo kwenye news outlet hii but nashangaa pale serikali inapoamua kuchukua hatua kudhihiti machafuko yanayochochewa na mitandao ya kijamii " Social Networks" hawa hawa ndo wa kwanza kusema serikali inaingilia uhuru wa kutoa maoni wa watu. Wakiwaacha wao ndo hulalamika tena kuwa mitamdao huharibu na kuchochea maasi, uvunjifu wa amani. Mf Ethiopia, Sudan, Libya, India, Myanmar n.k
Swali ni hili : MNATAKA SERIKALI IFANYE NINI ILI SASA ISIONEKANE INAKUWA BIASED KATIKA KUTETEA USALAMA WA NCHI?
Napenda demokrasia inayoleta maendeleo ya VITU na watu.
Tafadhalj hakikisha unaangalia makala yenyewe ndo ukoment pls.
Disclaimer: Mimi sio mfuasi wa chama chochote ila naheshimu mamlaka zilizopo kwakuwa tumefundishwa zinatoka kwa Mungu.
Karibuni