realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
ukweli ni kwamba watu wengi ukosefu wa ajira unaokumba vijana wengi unasababisha maovu kuongezeka ikiwamo,Wizi na mauaji.
Vijana wengi wamechomwa moto, wengine wako Mahabusu, wengine Gerezani kisa tu walikosa ajira wakaamua kushawishika kufanya vitu visivyofaa.
Serikali iendelee kuzalisha ajira nyingi zaidi ili kupunguza maovu ndani ya Jamii.