Ukosefu wa ajira ndio tatizo namba moja kwa vijana. Hakuna mwanasiasa mwenye suluhisho, tusidanganywe

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Kwa sasa kilio kikubwa cha vijana ni ajira ukosefu wa ajira ni bomu linalosubiri kulipuka.

Bahati mbaya hakuna mwanasiasa yoyote Tanzania mwenye majibu namna gani atapunguza ukosefu wa ajira kwa vijana.

Hao wapinzani wanachoweza kufanya ni kulaumu tu serikali eti inaajiri watu wachache sasa wewe Heche ulivyo mjinga serikali itapeleka wapi walimu laki 3?

Hiyo mbona ni km idadi ya wanafunzi kwa akili hizi sijui hata kwa nini nilikupigia kampeni.

Guys ishu ya ajira nchi zote za Afrika tumechemka asitokee mwanasiasa akakudanganya anayo majibu utakuwa wewe ni mjinga wa mwisho.

Pia soma
 
Bahati mbaya hakuna mwanasiasa yoyote Tanzania mwenye majibu namna gani atapunguza ukosefu wa ajira kwa vijana. Hao wapinzani wanachoweza kufanya ni kulaumu tu serikali eti inaajiri watu wachache sasa wewe Heche ulivyo mjinga serikali itapeleka wapi walimu laki 3? Hiyo mbona ni km idadi ya wanafunzi kwa akili hizi sijui hata kwa nini nilikupigia kampeni.

Guys ishu ya ajira nchi zote za african tumechemka asitokee mwanasiasa akakudanganya anayo majibu utakuwa wewe ni mjinga wa mwisho.
Tengenezeni mazingira watu watumie rasilimali za taifa kwa kuzalisha mali na kisha tulijenge taifa kwa pamoja. Ajira ni nyingi kama kutakuwa na viwanda vya ku process malighafi nyingi tulizonazo kuwa bidhaa kisha tukauze nje.
 
Hii suala fisiem wameshindwa, tuwajaribu wapinzani, nao wakishindwa tutajua chakufanya sisi wemyewe.
Unavyosema hakuna suluhu, sio kweli, ni vike tu viongozi wetu wanalamba asali huku wamewafumbia macho wale wanaotafuna shubiri, hawawezi kuona huruma wala kujua uchumgu wa shubiri walau kwa sura.

Kama akioatikana kiongozi mwenye uthubutu, akasimamia maliasili safi kabisa, akweka mipango mizuri tatizo hiki litaisha kwa kiasi kikubwa mnoo. Tuna mainjinia kibao, ila hatuna viwanda vya kueleweka.
 
Tengenezeni mazingira watu watumie rasilimali za taifa kwa kuzalisha mali na kisha tulijenge taifa kwa pamoja. Ajira ni nyingi kama kutakuwa na viwanda vya ku process malighafi nyingi tulizonazo kuwa bidhaa kisha tukauze nje.
Another low IQ from Swahili young person. Hao unawaambia watengeneze mazingira ili wewe uanzishe kiwanda ni kina nani? Wewe unasubiri nani akutemgenezee mazingira uanzishe kiwanda cha vikapu.?
 
Kwa sasa kilio kikubwa cha vijana ni ajira ukosefu wa ajira ni bomu linalosubiri kulipuka.

Bahati mbaya hakuna mwanasiasa yoyote Tanzania mwenye majibu namna gani atapunguza ukosefu wa ajira kwa vijana.

Hao wapinzani wanachoweza kufanya ni kulaumu tu serikali eti inaajiri watu wachache sasa wewe Heche ulivyo mjinga serikali itapeleka wapi walimu laki 3?

Hiyo mbona ni km idadi ya wanafunzi kwa akili hizi sijui hata kwa nini nilikupigia kampeni.

Guys ishu ya ajira nchi zote za Afrika tumechemka asitokee mwanasiasa akakudanganya anayo majibu utakuwa wewe ni mjinga wa mwisho.

Pia soma
Lipo suluhusho mujarabu kwa tatizo la ajira gentleman,

kuna ajira nyingi mno za wazi na za kutosha kabisa katika sekta ya kilimo, ufugaji, uvuvi na biashara,

Lakini zaidi sana zipo ajira za uhakika kwenye sekta ya usafishaji na technology gentleman,

uoga na uvuvi wa vijana wa kung'ang'ana mijini wakati fursa zipo vijijini, mtaota sana mvi na vipara huku mkilaumu wasio husika na uvivu wenu na kuchagua kazi 🐒
 
Tanzania tulikua na viwanda vingi lakini vyote vililiwa na kufa kabisa kama viwanda vya nguo, mkonge, maziwa, nyama, mbao, samaki, karakana na kadhalika nakadhalika...
Iliyoviua ni nani km sio Serikali yako?
 
Tanzania tulikua na viwanda vingi lakini vyote vililiwa na kufa kabisa kama viwanda vya nguo, mkonge, maziwa, nyama, mbao, samaki, karakana na kadhalika nakadhalika...
Hapo ajira zilizopotea ni nyingi mnoo.. Imagine tungekuwa na kiwanda cha magari, kiwanda cha vifaa vya electronics etc, ajira zingekuwa nyingin
 
Lipo suluhusho mujarabu kwa tatizo la ajira gentleman,

kuna ajira nyingi mno za wazi na za kutosha kabisa katika sekta ya kilimo, ufugaji, uvuvi na biashara,

Lakini zaidi sana zipo ajira za uhakika kwenye sekta ya usafishaji na technology gentleman,

uoga na uvuvi wa vijana wa kung'ang'ana mijini wakati fursa zipo vijijini, mtaota sana mvi na vipara huku mkilaumu wasio husika na uvivu wenu na kuchagua kazi 🐒
Kuna bonge la tusi nilitaka nikupe ila nimekuheshimu sana sitaki kuharibu reputation yako
 
Lipo suluhusho mujarabu kwa tatizo la ajira gentleman,

kuna ajira nyingi mno za wazi na za kutosha kabisa katika sekta ya kilimo, ufugaji, uvuvi na biashara,

Lakini zaidi sana zipo ajira za uhakika kwenye sekta ya usafishaji na technology gentleman,

uoga na uvuvi wa vijana wa kung'ang'ana mijini wakati fursa zipo vijijini, mtaota sana mvi na vipara huku mkilaumu wasio husika na uvivu wenu na kuchagua kazi 🐒
Unaongea nadharia kama wanasiasa wa kiafrica
 
Hapo ajira zilizopotea ni nyingi mnoo.. Imagine tungekuwa na kiwanda cha magari, kiwanda cha vifaa vya electronics etc, ajira zingekuwa nyingin
Anzisha kiwanda basi kama unafikiri ni rahisi
 
Another low IQ from Swahili young person. Hao unawaambia watengeneze mazingira ili wewe uanzishe kiwanda ni kina nani? Wewe unasubiri nani akutemgenezee mazingira uanzishe kiwanda cha vikapu.?
Kwahio mie nipambane na watu wajinga ambao wanalipwa ila wanashindwa ku deliver? You must be so dumb. Mmeweka wapuuzi top-down kisha mtegemee watu smart wahangaike nao.
 
Muache kudanganywa
Kwahiyo watu wakae na huyu huyu fisiem?
Suluhu ipo shida ni viongozi tu kuwa na uthubutu, wacha tuwajaribu na wengine, huenda nao wakawa tofauti, ama wakiwa hawana mpango, tutajua cha kufanya mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom