Wanawake walio wengi nchini hali yao kiuchumi ni mbaya ukilinganisha na mchango wao katika jamii, hali hii imechangia wanawake wachache kufikia nafasi za juu kabisa katika taaluma,siasa, na biasahara.
Na pia wamekuwa ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine nchini.