dorge
Senior Member
- Feb 7, 2025
- 118
- 186
Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa.
Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda kusomea.
Idadi ya wahutimu vijana ni kubwa mno, na sio walimu ni kada nyingine kabisa. Wakati huu walimu wakiwa wanalalamika, najiuliza ile timu iko wapi? Ila kiukweli nawashuhudia wale ambao tulikuwa na ukaribu wanachoma na kuuza mkaa, wapo waliokwenda kuwa Mitume wanamiliki makanisa.
Lkn wengine wako wapi. Hakika sijui.
Uhaba wa ajira sio walimu pekee wanasheria wengi sana wanazalishwa, na kada mbalimbali. Katika hili vuguvugu kuna wale ambao wameshasha ji attach.kwao hasaoni maana. Kwa mfano aliopata kaz benk, wamepata mikopo..huyu hutamsikia kabisa. Kwenye ualimu ni tofauti