Ukosefu wa fedha chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume

Ukosefu wa fedha chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
"kosefu wa fedha chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume"
Limelipo gazet moja pendwa nchin Tanzania

Facebook
Siyo handsome, huna pesa, huwez kuongea sasa nguvu za kiume unapata wapi
 
BILA SHAKA TWAWEZA WAMETIA MKONO KATIKA HILI
 
Wanao ongoza kuwa na nguvu za kiume ni wale wasio na hela na kazi nando wanajituma kwenye mapenzi
 
Ukiwa na hela utakuwa na nguvu za kiume kwa kila mwanamke..
 
Back
Top Bottom