Ukosefu wa fedha chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
"kosefu wa fedha chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume"
Limelipo gazet moja pendwa nchin Tanzania

Facebook
Siyo handsome, huna pesa, huwez kuongea sasa nguvu za kiume unapata wapi
 
BILA SHAKA TWAWEZA WAMETIA MKONO KATIKA HILI
 
Wanao ongoza kuwa na nguvu za kiume ni wale wasio na hela na kazi nando wanajituma kwenye mapenzi
 
Ukiwa na hela utakuwa na nguvu za kiume kwa kila mwanamke..
 
Ukiwa huna hela hata wanyama wako wanakuzalau kwa kufanya mapenzi mbele yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…