USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Sisi wakazi wa mbezi Louis hatuna maji wiki ya pili sasa kwa taarifa za uhakika ni mkoa mzima unatatizo la ukosefu wa maji na huenda waziri Aweso akawa waziri wa tatu kutoka tanga kutimuliwa baada ya Ummy Mwalimu na Januari makamba!
Je, mtaani kwako kuna maji? Unateseka na kadhia hii ukiwa wapi?
Je, Samia amemtua mama ndoo kichwani?
Je, Samia amemzingua Aweso kama alivyosema awali?
USSR
Je, mtaani kwako kuna maji? Unateseka na kadhia hii ukiwa wapi?
Je, Samia amemtua mama ndoo kichwani?
Je, Samia amemzingua Aweso kama alivyosema awali?
USSR