Maji ni tatizo la kitaifa mkuuSisi wakazi wa mbezi Louis hatuna maji wiki ya pili sasa , kwa taarifa za uhakika ni mkoa mzima unatatizo la ukosefu wa maji na huenda waziri Aweso akawa waziri wa tatu kutoka tanga kutimuliwa baada ya Ummy Mwalimu na Januari makamba!
Je mtaani kwako kuna maji ? ,unateseka na kadhia hii ukiwa wapi ?
Je Samia amemtua mama ndio kichwani ?
Je Samia amemzingua Aweso kama alivyosema awali ?
USSR
Suluhisho LA maji ni kiruhusu makampuni Binafsi wachimbe na kusambaza maji hutakaa usikie shida ya majiSisi wakazi wa mbezi Louis hatuna maji wiki ya pili sasa kwa taarifa za uhakika ni mkoa mzima unatatizo la ukosefu wa maji na huenda waziri Aweso akawa waziri wa tatu kutoka tanga kutimuliwa baada ya Ummy Mwalimu na Januari makamba!
Je, mtaani kwako kuna maji? Unateseka na kadhia hii ukiwa wapi?
Je, Samia amemtua mama ndoo kichwani?
Je, Samia amemzingua Aweso kama alivyosema awali?
USSR
Ninafsi nimeamua kukaa kimya. Natamani sana kutoa ya moyoni ila naogopa kutekwa na wasiojulikana.Maji ni tatizo la kitaifa mkuu
Tukisema tuongee sana tutaambiwa tunapingana na serikali hivyo ni kher tukae kimya sasa, maana hii nchi ilipofikia tafsir yake ni kwamba tumefungwa midogo
Mi nipo sengerema mkuu, ma staff wote wa mamlaka ya maji wananifaham
Nimepambana kwa jasho na damu kupaza sauti matokeo yake naonekana mimi ni mtata
Ziwa victoria lipo mwanza, wilaya zote za mwanza zimezungukwa na maji tupu chakuskitisha ndugu yangu, tatizo la maji hapa sengerema ni afadhali ya dar
Yaan sengerema maji ni kama anasa vile
Ila yote hayo ni kutokana na kutowajibika kwa viongozi tuliowapa ridhaa ya kutuongoza
Comment yangu ni sina comment.Samia kafeli kila mahali!
Umeme wenyewe bado anatembelea mbeleko ya JPM...
Huyu mtu ataweza kitu gani sasa?
Yani mvua yote ya mafuriko leo hii hamna maji?