KERO Ukosefu wa maji safi na salama Vigwaza, nini kifanyike?

KERO Ukosefu wa maji safi na salama Vigwaza, nini kifanyike?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Gekul boy

New Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Kutokana na changamoto ya maji Vigwaza, huku ikiwa ni karibu na chanzo cha maji ya mto Ruvu,
1: DAWASA HAWANA TAARIFA? "WIZARA YA MAJI"
2: VIONGOZI HAWASHUGHULIKII HILI SUALA AU NI WANANCHI WAMEZOEA MAJI YA MASHIMO?
3: N. K
 
Back
Top Bottom