Ukosefu wa nguvu za kike

Joined
Jul 25, 2014
Posts
83
Reaction score
36
Habari za kwenu wana JF mi nilikua naswali.

Eti inawezekana Mwanamke akakosa nguvu za kike ,namaanisha kwamba hasikii kitu wakati wa kujaamiiana?...nna rafiki angu ambaye aliniambia kua yeye hajawahi kusikia raha ambayo watu wanahadithia wanaisikia wakati wa kungonoka ,so yeye hua anafanya lkn hasikii kitu,je huo ni ugonjwa? na dawa yake ni nini kama ipo?
 
Hali hiyo IPO na inawapata wanawake wengi sana
 
Nimewahi kumsikia dr. ndondi akilizungumzia hili redioni, labda akamuone huyu kwani alisema anazo dawa za tatizo hili.
 
pole sana zake, je hajawahi kufanyiwa tohara ya kike?
 

Kwa kadiri ya ufahamu wangu hakuna kitu kinachioitwa nguvu za kike. wakati mwingine neno nguvu hutumika kuelezea uwezo wa mwaname kumudu kufanya ngono kwa muda unaoweza kumtosheleza mwenzake. maana yake ni kwamba uume wake unaweza kuendelea kusimama kwa muda gani wakati wa tendo. wapo wanapoanza tu tendo uume hulala baada ya muda mfupi, na wengine wakimudu uume kusimama kwa muda mrefu hata kuwatosheleza wenzi wao.

mwanamke kutojisikia kufanya ngono sio upungufu wa nguvu za kike bali hilo nitatizo jingine kabisa.
Labda mjadala wako uanzie hapo.
 
Frigidity is a condition in which a woman is unable to achieve or sustain sexual arousal. She may not be able to exhibit adequate sexual desire, arousal, orgasm or desire for intercourse.
 
Una spiritual husband:wacko::A S wink:. Malufundi ya mwenzio unayaamini? Anakuuzia chai.
 
mmmmhhh akamuone ?? sio atafanya majaribio yeye?




Nimewahi kumsikia dr. ndondi akilizungumzia hili redioni, labda akamuone huyu kwani alisema anazo dawa za tatizo hili.
 
Kwani kusikia raha nako kunataka utumie nguvu si juhudi za mkunaji tu.....
 

Hakuna kitu kama hiko, hapa ni kushtakia kajamaa kake hakawezi kuchakata! Mwambie ani-pm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…