Mpekuzi Tanzania JF-Expert Member Joined Mar 11, 2018 Posts 650 Reaction score 1,016 Oct 2, 2021 #1 Tazama clip/video kuhusu Nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Maweni, Kata ya Nguvumoja Wilaya ya Igunga. Your browser is not able to display this video. Inadaiwa kuna ukosefu wa nyumba za Walimu katika shule ya msingi Maweni na kuwafanya walimu kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.
Tazama clip/video kuhusu Nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Maweni, Kata ya Nguvumoja Wilaya ya Igunga. Your browser is not able to display this video. Inadaiwa kuna ukosefu wa nyumba za Walimu katika shule ya msingi Maweni na kuwafanya walimu kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,760 Reaction score 20,837 Oct 2, 2021 #2 CCM mbele kwa mbele japo watalaumiwa wapinzani ambao hawajahi shika madaraka. Ila Hedi ticha akomae tu mbona pako fresh ana mpaka solar.
CCM mbele kwa mbele japo watalaumiwa wapinzani ambao hawajahi shika madaraka. Ila Hedi ticha akomae tu mbona pako fresh ana mpaka solar.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 2, 2021 #3 Inasikitisha sana...