Kiukweli kuhusu umeme na mafuta vinatuumiza sana.
Mtu unakuta umeme wa mgao, saa12 zinapita bila ya umeme.. Unakamashine ka kuwasha ili kuendesha shuguli fulani, ukienda sheli na dumu ili ufuate mafuta ya jenereta watu wa sheli wanasema wakiuza mafuta kwenye dumu wanapigwa faini hadi milioni 20 na EWURA.
Kiukweli inaumiza sana.