Kama utakua na kumbukumbu nzuri na ukaacha ushabiki Ni kuwa Russia aliomba mazungumzo yafanyike kabla ya kuanza mapigano Ukraine alikataa. Baada ya mapigano ya kupasha misuli amekubali yafanyike mazungumzo.Kyiv to send delegation of officials for talks with Russian counterparts on the Ukraine-Belarus border, Zelensky says
Aljazeera
Ni wazi Putini amesarenda, hali si ya kawaida sana Russia wamekumbana na joto kali sana miji ya Kiev., Russia ndio walitaka haya mazungumzo awali nadhan vikwazo vimemtia pressure sana huyu jamaa lakini naona kama ni ule msemo usemao "you cannot cry over the split milk".
Kwamba walitaka kuzima COVID?Ndo imeisha hiyooo.......mlango wa Covid ushafungwa kwa MAGURUNETI
Mbona Nato, USA na Israel wamemwaga damu sana na wao wata'pay lini the price?Let's wait and see the outcomes of the talks. Mbaya sana kumwaga damu za wasio na hatia just for prestige; Putin must pay the price.
Hii mifano yenu inachosha kwa kweli! Kufurumusha magaidi ni jambo la heri.Mbona Nato, USA na Israel wamemwaga damu sana na wao wata'pay lini the price?
Yemen, Libya, Iraq, Syria, afghastan etc
Zalensky hawezi kuachia madarakaUkraine ndio waliomba mazungumzo since day two. Russia akalazimisha yafanyike Belarus na sio vinginevo, ndivo inavokuwa.
Awali kabisa putin aliwaambia Ukraine waachane na mpango wakujiunga nato vinginevo angevamia, na ndivo ilivokuwa.
Mazungumzo yatajikita zaidi ktk kumshawishi zelensky aachie madaraka kwa hiari
"Baada ya mapigano ya kupasha misuli". Hii lugha imekaa kibabe sana. Kwahiyo mkuu, mrusi hata vita yenyewe rasmi hajaianza badoKama utakua na kumbukumbu nzuri na ukaacha ushabiki Ni kuwa Russia aliomba mazungumzo yafanyike kabla ya kuanza mapigano Ukraine alikataa. Baada ya mapigano ya kupasha misuli amekubali yafanyike mazungumzo.
Kwahiyo kam Ukraine angeshikilia msimamo wake yasingefanyika.
Soma hapa Nani alietoa taarifa, utajua kuwa ni Rais wa UkraineView attachment 2133118
Hii mifano yenu inachosha kwa kweli! Kufurumusha magaidi ni jambo la heri