Ukraine has the lowest birth and highest mortality rate than any other country in the planet

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
542
Reaction score
1,286
Ripoti mpya kutoka shirika la kijasusi la marekani CIA imebaini Ukraine ndio nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watoto wanaozaliwa lakini pia ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya vifo.

Hakika hata kama vita itaisha, Historia ya Ukraine itamkumbuka na kumlaani vibaya sana Volodimir Zelensky either akiwa hai au mfu.
IMG_20240925_211815.jpg
 
View attachment 3159363
Vip palastine motarity rate yao iko je?
 
Vip palastine motarity rate yao iko je?
Navyoona mimi, Palestina tangu hiyo mwaka 1948 walishawekeana mikakati ya kuzaliana kadri wawezavyo ndio maana hata katika hivi vita hapo Gaza wanaendelea kubebeshana mimba licha ya mabomu.

Hii ni tofauti na Ukrain kwa sababu hawakuweka mkakati wa kuzaliana kama kigezo cha kukabiliana na Urus katika ardhi ya Ukrain na pia hawana tishio la kufukuzwa kwenye nchi yao tofauti na Palestina ambao kuzaliana ni kinga mana wakiwa wachache wanaweza kuisha kwa sababu ya mabomu na watakaobaki ni rahisi kuwafukuza Gaza au kuwatawala kwa nguvu.
 
Sasa Wanaume Wanaishia Vitan
Mtaani wanajaa Wanawake Na Wazee Uzazi utakuwepo kweli
 
Ripoti mpya kutoka shirika la kijasusi la marekani CIA imebaini Ukraine ndio nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watoto wanaozaliwa lakini pia ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya vifo.

Hakika hata kama vita itaisha, Historia ya Ukraine itamkumbuka na kumlaani vibaya sana Volodimir Zelensky either akiwa hai au mfu.
View attachment 3159363
Nyinyi ccm ni watu wajinga wa mwisho katika hii dunia

Yaani watu wanafia nchi yao na kutetea uhuru wao, we unasema Zele alaaniwe?

Wazungu ni wazungu tu na sio kama CCM, mmewafanya watanzania kuwa mazuzu, mnafukuza wamachinga na kuwakataza wasifanye kazi zao wakati viongozi wenu wanalogana kutafuta nafasi za uteuzi, kama ni vibaya mtu kuwa na kazi, mbona nyinyi hamuachii nafasi zenu?

Jinga kabisa
 
Back
Top Bottom