State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Vip palastine motarity rate yao iko je?Ripoti mpya kutoka shirika la kijasusi la marekani CIA imebaini Ukraine ndio nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watoto wanaozaliwa lakini pia ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya vifo.
Hakika hata kama vita itaisha, Historia ya Ukraine itamkumbuka na kumlaani vibaya sana Volodimir Zelensky either akiwa hai au mfu.
View attachment 3159363
Navyoona mimi, Palestina tangu hiyo mwaka 1948 walishawekeana mikakati ya kuzaliana kadri wawezavyo ndio maana hata katika hivi vita hapo Gaza wanaendelea kubebeshana mimba licha ya mabomu.Vip palastine motarity rate yao iko je?
Nyinyi ccm ni watu wajinga wa mwisho katika hii duniaRipoti mpya kutoka shirika la kijasusi la marekani CIA imebaini Ukraine ndio nchi yenye idadi ndogo kabisa ya watoto wanaozaliwa lakini pia ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya vifo.
Hakika hata kama vita itaisha, Historia ya Ukraine itamkumbuka na kumlaani vibaya sana Volodimir Zelensky either akiwa hai au mfu.
View attachment 3159363