Ukraine ipo tayari kwa mazungumzo

Ukraine ipo tayari kwa mazungumzo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Ukraine imeonesha utayari wa kufanya mazungumzo na Urusi mpakani mwa nchi hizo mbili ili kupunguza athari kwa raia wasio na hatia

Hatua imejili baada ya Urusi kuonesha kuwa angeweza kutumia bomu la nyuklia kuipiga Ukraine

Ripoti zimesema Japan inaweza kuweka vikwazo vya kifedha kama Urusi itaendelea na mashambulizi yake
 
Atumie tu nuclear huyo mjinga. Watu wanapigana Vita lakini sijawahi kusikia Mambo ya nuclear weapons. Iweje yeye. Na akifanya hivyo ndio atapoteza ushawishi kabisa hata wanaomuunga mkono watamgeuka.
 
Atumie tu nuclear huyo mjinga. Watu wanapigana Vita lakini sijawahi kusikia Mambo ya nuclear weapons. Iweje yeye. Na akifanya hivyo ndio atapoteza ushawishi kabisa hata wanaomuunga mkono watamgeuka.
Unafikiri zinatengezwa kwa ajili ya mapambo ya arusi?

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
... it's very painful raia wasio na hatia kuuliwa simply fashisti kaamua hivyo.
 
20220225_201649.jpg
 
Ukraine imeonesha utayari wa kufanya mazungumzo na Urusi mpakani mwa nchi hizo mbili ili kupunguza athari kwa raia wasio na hatia

Hatua imejili baada ya Urusi kuonesha kuwa angeweza kutumia bomu la nyuklia kuipiga Ukraine

Ripoti zimesema Japan inaweza kuweka vikwazo vya kifedha kama Urusi itaendelea na mashambulizi yake

Urusi imeweka high alert nuclear deterrence force. Hebu lete source ambayo russia ametishia kutumia nuclear weapons.

Nuclear weapons so kama magobole.

Pia, Russia wana struggle ndio mana wapo slow kugain more areas. Upinzani ni mkubwa kuliko ilivyotegemewa.

Ukraine wamekubali kuingia kwenye mazungumzo ila sio kufuata Russia's ultimatums

Kwa upande wa vikwazo, Russia vitamshika pabaya kiuchumi. Hakika vikwazo ni vikali sana. Especially hili la SWIFT
 
Back
Top Bottom