kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Nchi za Magharibi na Marekani ziko nyuma ya migogoro ya Ukraine na DR Congo. Nchi hizi zinaisaidia Ukraine kuishambulia Urusi na Rwanda kuishambulia DR Congo kwa maslahi yao.
Migogoro duniani haitakwisha hadi hapo nchi zinazoendelea zitakapopata ujasiri wa kususia misaada na mikopo kutoka nchi za Magharibi na Marekani na kususia kufanya biashara na nchi hizo. Yaani ku sacrifice kila kitu kutoka nchi za Magharibi hadi hapo nchi hizo zitakapoacha kupora mali za wadogo kijeshi.