Ukraine: Maafisa wanaodaiwa kutoa taarifa za kiintelijensia kwa Urusi wakamatwa

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kwa mujibu wa Idara ya Usalama ya Ukraine, Afisa wa Juu wa Serikali pamoja na Kiongozi wa mwingine katika masuala ya Biashara wanaoshukiwa kuwa sehemu ya Mtandao wa Urusi wamewekwa kizuizini

Inadaiwa wametoa taarifa mbalimbali zikiwemo zinazohusiana na uwezo wa Ulinzi/Usalama wa Ukraine na Taarifa Binafsi za Maafisa wa Vyombo vya Sheria

Ukraine imesema Urusi iliwalipa kati ya Dola za Marekani 2,000 - 15,000 kwa kila kazi (Takriban Tsh. 4,665,314 - 34,989,045) kulingana na umuhimu wa taarifa

========

Ukraine has detained a senior government official and a business leader suspected of being part of an alleged Russian spy network, the Security Service of Ukraine said on Tuesday.

The Security Service (SBU) did not name the two suspects but identified them as a senior official in the Secretariat of the Cabinet of Ministers and a department head at the Chamber of Commerce and Industry, a business lobby

It said in a statement on the Telegram app that it had carried out a "multi-stage special operation" to neutralise the alleged spy ring

"As a result: in Kyiv, the head of a department of the Secretariat of the Cabinet of Ministers and the head of one of the directorates of the Chamber of Commerce and Industry were detained," the SBU said

"These officials passed on various intelligence information to the enemy: from the state of our defence capability to arrangements at the state border and personal data of Ukrainian law enforcement officers."

Russia did not immediately comment on the SBU statement.

The two main suspects were shown sitting in front of a Ukrainian flag in a video and saying they had collaborated with Moscow, with whom Ukraine has been at war since Russia invaded its neighbour on Feb. 24.

It was not immediately clear whether they spoke under duress.

The SBU said Russia paid the suspects from $2,000 to $15,000 per task, depending on the level of secrecy and the importance of the information. One of the men said in the video he had received a total of $33,000 for his activities, and the other said he received $27,000.

One, who had the code name "Kireev", said he had collaborated since 2016. The other said he had done so since 2019.
 
Ukraine inaona inashindwa vita, sasa wanajaribu kutafuta mchawi ili ku-justify dismal performance ya jeshi lao kwamba inatokana na majasusi wa Ukraine kutoa taarifa za siri kwa jeshi la Urusi.

Tukumbuke Zelensky ni msanii mahili anaweza kusema chochote Chenye lengo la kuwachota akili Waukraine wenzake ili wamuone ni kiongozi bora na jasiri - binafsi naona wanao daiwa kuwa ni majasusi wanaweza kuwa ni wasanii wenzake wanaojifanya ni majasusi wanaolipwa na Serikali/Jeshi la Urusi kumbe gheresha tupu ambazo hazimsaidii kitu badala yake Urusi inaendelea kuteka maeneo mengi kusini mwa Ukraine na hasipo kuwa makini watateka nchi nzima na kusababisha Zelensky kukimbia Nchi

Sasa ushauri wangu kwa Zelensky hasijifanye kifaru na jeuri akubali kukakaa chini na Putin ili wamalize tofauti zao kuliko kuachia Taifa lake kugeuzwa magofu na kupoteza raia wengi wasio na hatia - Zelensky akumbuke kwamba anatumiwa na USA for geopolitical reasons specifically to get even with them Russians through back door using Ukraine as battle ground to test and sell Military Industrial Complex (MIC) weapons - they don't care about Ukranians or Russians losing their dear lives emass!!
 
Silaha zinapoingia zinalipuliwa,tulijua Kuna watu wanatoa taarifa kwa Urusi.
Kumbukeni Urusi inamiliki Satellites zenye uwezo wa kuona na ku-track even a needle in a hey stack,leo hii ndio washindwe kutrack mizigo ya silaha zinazo safirishwa kwa njia ya reli na barabara kwa kuzifunika kwa tapulin za redcross ili zisitambuliwe kirahisi - kumbe wenzao wanazifatilia mpaka kwenye magodown zinapo hifadhiwa wanazilipuwa at opportune time!!
 
Vita inahitaji mshikamano wa dhati , Asipoangalia hapo ndo ataanzisha mgawanyiko na anaweza kutolewa madarakani na wanaowaunga mkono waliokamatwa.
 
Kwa mujibu wa Idara ya Usalama ya Ukraine, Afisa wa Juu wa Serikali pamoja na Kiongozi wa mwingine katika masuala ya Biashara wanaoshukiwa kuwa sehemu ya Mtandao wa Urusi wamewekwa kizuizini

Inadaiwa wametoa taarifa mbalimbali zikiwemo zinazohusiana na uwezo wa Ulinzi/Usalama wa Ukraine na Taarifa Binafsi za Maafisa wa Vyombo vya Sheria

Ukraine imesema Urusi iliwalipa kati ya Dola za Marekani 2,000 - 15,000 kwa kila kazi (Takriban Tsh. 4,665,314 - 34,989,045) kulingana na umuhimu wa taarifa

========

Ukraine has detained a senior government official and a business leader suspected of being part of an alleged Russian spy network, the Security Service of Ukraine said on Tuesday.

The Security Service (SBU) did not name the two suspects but identified them as a senior official in the Secretariat of the Cabinet of Ministers and a department head at the Chamber of Commerce and Industry, a business lobby

It said in a statement on the Telegram app that it had carried out a "multi-stage special operation" to neutralise the alleged spy ring

"As a result: in Kyiv, the head of a department of the Secretariat of the Cabinet of Ministers and the head of one of the directorates of the Chamber of Commerce and Industry were detained," the SBU said

"These officials passed on various intelligence information to the enemy: from the state of our defence capability to arrangements at the state border and personal data of Ukrainian law enforcement officers."

Russia did not immediately comment on the SBU statement.

The two main suspects were shown sitting in front of a Ukrainian flag in a video and saying they had collaborated with Moscow, with whom Ukraine has been at war since Russia invaded its neighbour on Feb. 24.

It was not immediately clear whether they spoke under duress.

The SBU said Russia paid the suspects from $2,000 to $15,000 per task, depending on the level of secrecy and the importance of the information. One of the men said in the video he had received a total of $33,000 for his activities, and the other said he received $27,000.

One, who had the code name "Kireev", said he had collaborated since 2016. The other said he had done so since 2019.
Wanafunz wa Urusi walienda USA kusoma kumbe ni majasusi, USA nao wakaweka walimu nao majasusi,kazi iliokuwepo nani aisaliti nchi yake.
Urusi ilifanikiwa kupata jasusi wa USA.Huyo jasusi alitafutwa kwa miaka Saba ndipo alpopatikana.Alipulizwa akasema walimlipa pesa nyiingi kiasi kwamba huyo jasusi nae akawauliza hizo pesa zote nitaziweka wapi,hazikupitia kwenye account walikua wanamwekea chini ya mti shimoni na kumwekea alama ya chaki.
 
Russia amepandikiza ma spy wake had ndani ya ya oval office ya beberu Biden...Ni mambo ya oawaoda katika ulimwengu wa ujasus..
"The onion has so many Layers"
 
Kwa mujibu wa Idara ya Usalama ya Ukraine, Afisa wa Juu wa Serikali pamoja na Kiongozi wa mwingine katika masuala ya Biashara wanaoshukiwa kuwa sehemu ya Mtandao wa Urusi wamewekwa kizuizini

Inadaiwa wametoa taarifa mbalimbali zikiwemo zinazohusiana na uwezo wa Ulinzi/Usalama wa Ukraine na Taarifa Binafsi za Maafisa wa Vyombo vya Sheria

Ukraine imesema Urusi iliwalipa kati ya Dola za Marekani 2,000 - 15,000 kwa kila kazi (Takriban Tsh. 4,665,314 - 34,989,045) kulingana na umuhimu wa taarifa

========

Ukraine has detained a senior government official and a business leader suspected of being part of an alleged Russian spy network, the Security Service of Ukraine said on Tuesday.

The Security Service (SBU) did not name the two suspects but identified them as a senior official in the Secretariat of the Cabinet of Ministers and a department head at the Chamber of Commerce and Industry, a business lobby

It said in a statement on the Telegram app that it had carried out a "multi-stage special operation" to neutralise the alleged spy ring

"As a result: in Kyiv, the head of a department of the Secretariat of the Cabinet of Ministers and the head of one of the directorates of the Chamber of Commerce and Industry were detained," the SBU said

"These officials passed on various intelligence information to the enemy: from the state of our defence capability to arrangements at the state border and personal data of Ukrainian law enforcement officers."

Russia did not immediately comment on the SBU statement.

The two main suspects were shown sitting in front of a Ukrainian flag in a video and saying they had collaborated with Moscow, with whom Ukraine has been at war since Russia invaded its neighbour on Feb. 24.

It was not immediately clear whether they spoke under duress.

The SBU said Russia paid the suspects from $2,000 to $15,000 per task, depending on the level of secrecy and the importance of the information. One of the men said in the video he had received a total of $33,000 for his activities, and the other said he received $27,000.

One, who had the code name "Kireev", said he had collaborated since 2016. The other said he had done so since 2019.
Safi kabisa hawa ndo wanatuchelewesha na inabidi wanyongwe kwa kuchomwa korodani taratibu taratibu hadi umauti.
 
Kumbukeni Urusi inamiliki Satellites zenye uwezo wa kuona na ku-track even a needle in a hey stack,leo hii ndio washindwe kutrack mizigo ya silaha zinazo safirishwa kwa njia ya reli na barabara kwa kuzifunika kwa tapulin za redcross ili zisitambuliwe kirahisi - kumbe wenzao wanazifatilia mpaka kwenye magodown zinapo hifadhiwa wanazilipuwa at opportune time!!
Hizi Satellites hazikuona makombora yaliyozamisha meli zake?
 
Zimezamishwa Meli ngap?? We unajuaje kwamba Meli ilizama kutokana anti Ship missilles za Ukraine na siyo accident tu iliyo sababishwa na kulipuka prematurely kwa makombola yaliyo kuwa on board of the accidented ship - having in mind kwamba she was on high alert due ongoing WAR and on the fateful day the SEA was very rough, kila mtu aliliona hilo - Bahari ilichafuka sana kutokana na upepo mkali uliyo vuma siku hiyo - Zelensky anasema chochote kifurahisha baraza mbona siku ya tukio Pentagon walisema they don't think Ukraine walishambulia Meli ya Warusi kwa makombora, baadae kabisa kwa sababu za kipropaganda wakasema ni kweli Ukraine ilizimisha meli ya Warusi!!
 
Back
Top Bottom