Mimi sio muumini wa vita ya uvamizi,lakini nipende kukiri kuwa Syria iliishi kinyonge mno kuliko Ukraine inavyojipambanua katika vita hii kati ya Russia na Ukrain.
Kila nikiwa katika kazi zangu za kila siku nikikumbuka vibaka wa kariakoo wanavyochomwa moto wa petroli na kusahau kuwa kumbe majizi yote nchi hii yamenunuliwa magari ya kifahari na yanashangiliwa kwa maamuzi yao mabovu.
Kwa mantiki hii vita ni vita japo tumeanza kwa vibaka tutawafikia tuu magaidi wa uchumi.
Vita yetu watanzania ni ya uchumi wezeshi na sio wao watupige sie tulipe tozo.Hivyo basi Ukraine anatukumbusha ya kuwa hakuna mbabe mbele ya mbinu.
Soma Pia:
Hivyo amekuwa akiichukulia Ukraine kama sehemu chumba mojawapo ndani ya.Klemlini, Putin alianza kwa mbwembwe na kusema atazuia gesi na mengineyo lakini hakuna ajuae ya kesho,hili liwe fundisho kwa mataifa makubwa kuleta jeuri dhidi ya nchi huru,
Napenda pia kutambua mbinu ya Ukraine na kuiona kama mwanga mpya na msimu mpya utakao ondoa utumwa wa kuamini dunia ni ya wakubwa pekee,vibaraka wakuu wa Klemlin wako kimya sababu kila mmoja amestaajabishwa na mbinu hii mpya na hakuna ajuae nini kitajiri kwa siku zijazo.
Hongera Zerensky kwa Kuna na.plan B,naamini matokeo haya yataifanya Klemlin kuja meza ya mapatano nakufuta uvamizi huu.Viva Ukraine.

- NATO ipo katika wakati mgumu sana kuikoa Ukraine
- Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?