Ukraine waanza kuwasogeza nyuma Warusi kule Bakhmut

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Warusi walipoteza wanajeshi wengi sana, maelfu yao walikufa wakati wananyakua maeneo ya kamji ka Bakhmut, sasa yameanza kuwatokea puani.

==================================

Ukraine said on Friday that its forces had made significant advances around the embattled city of Bakhmut in the eastern Donetsk region, which has been the epicenter of fighting with Russia for months.

"The enemy has suffered great losses of manpower. Our defense forces advanced 2 kilometers (around 1 mile) near Bakhmut. We did not lose a single position in Bakhmut this week," Deputy Defense Minister Ganna Malyar said in a statement on social media.

The comments came after another senior Ukrainian military official said this week that Russian forces had dropped back from some areas near Bakhmut after counterattacks by Kyiv's forces.
 
Ukraine wanapigana utamu sana, ukivamia mji kwanza wanakuachia wao wanaokoa raia, kinachofuata ni kumzuia adui asisogee mbele abaki alipo wakati huo huo wanafanya maarifa kukuzungukia kufanyia mashambulizi kwa upande mwengine wanaita counteroffensive.

Na hawa Russia siku zote toka vita inaanza wameshindwa kuzuia jambo hili lisifanyike ni vile wanapelekeshwa tu kama madudu, wao wakiona wamevamia na kupata mahali kuweka bendera yao wanaona imetosha sasa kipondo wanachokula Bakhmut muda huu ni cha mbwa koko
 
Jaeni vizuri mshushiwe kipigo Cha mbwa Koko!
 
Yule kijana wa Chadema anayejiita Yericko Nyerere aliwaaminisha watu kuwa kazi imeshaisha.
 
Kuna mama muislamu leo alikua ananisimulia kuhusu Putin na vita vya Ukraine, niliishia kucheka nilipowaza pumba alizokua ananieleza ndio vitu mnaaminishana huko mkikusanyika, yaani ujuha.
Alikusimulia Nini?

IMG_20230225_010528_074521.jpg
 
Back
Top Bottom