Ukraine wafaulu kupasua ngome mpya ambayo Warusi wanaokimbia mapambano walikua wamejichimbia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Warusi waliokimbia mapambano waliungana na wenzao na kujichimbia upande wa pili wa mto Oskil na kusuburi, ghafla wazalendo wa Ukraine wakawasili kama kawaida kishujaa na kufyatua kila kitu hadi wakavuka mto na kuendelea kupokeza kichapo.....vilianzia Crimea vitaishia Crimea....vijana wanajitoa mhanga.

Salamu zimfikie Putin, alilipua bwawa la maji ili awatese raia wa Ukraine, hana taarifa wapo tayari kufa wote kwa ajili ya ardhi yao....

==========================

Ukrainian soldiers have broken through Russia's frontline along the Oskil River, exposing an important supply route and swathes of territory that the Kremlin has promised to defend.
Fighting has focused on Kupiansk since Russian forces fled a surprise Ukrainian offensive around Kharkiv in northeast Ukraine last week but now military bloggers from both sides have said that Russia's defence has crumbled once again.

"Kupiansk has surrendered. The enemy is on the left bank of the Oskil," the pro-Russian military blogger Vladlen Tatarsky told his 450,000 subscribers last night.

Western commentators confirmed the development. James Rushton, a British military analyst based in Ukraine, said he didn't think that Russian forces would be able to hold their defensive line along the Oskil River for much longer.

"The Ukrainians have already crossed it," he said. "Considering they now control all of Kupiansk, half of the city is on the eastern bank, any defensive line the Russians might try to form along the river is already very vulnerable."

Russian forces fled across the Oskil River, which runs north-south from central Russia into Ukraine, after a surprise Ukrainian offensive recaptured roughly 2,500 square miles of territory, an area nearly equal to the size of Devon.

MSN
 
Mkuu asante sana kwa taarifa , usichoke kutuletea habari mpya kama hizi . SHETANI Putin anaaibika mkuu .
 
Baruch HaShem
 
Kwenye Biblia kuna mfalme mmoja aliitwa Jehoshaphat. Majeshi mengi ya wa Moabites na Ammonites yalijiunga ili kupigana naye na kwa vile alikuwa hana uwezo aliwaambia watu wake wafunge na kuomba Mungu aweze kuwasidia maana walikuwa wate wofe na nchi yao ichukuliwe. Mungu alisikia maombi yao, na sasa kilichofuata yale majeshi yalipigwa na mkono wa Mungu na kutokomea. Ninafikiri kwenye hii vita kuna mkono wa Mungu unaowasaidia hawa watu wa Ukraine maana kwa uwezo wao ukilinganisha na warusi, wangekuwa wameshafutiliwa mbali. unaweza kupata hii story kwenye biblia Nyakati wa pili 20:1-29.
 
Nikilinganisha na idadi ya wanajeshi waliosukumwa ukrine siuoni hata huo mkono wa Mungu. Hata usa akiivamia tz na akatuma wanajeshi chini ya 20k ataonekana ni mbulula tunchi yenye wanajeshi 300k we unatuma wanajeshi 100k wakapigane ugenini
 
Kuna watu wenye ukoma wasiozidi 10, walifukuza majeshi ya washami. Kila hatua ambayo wale wakoma wakipiga, kilikuwa ni kishindo kizito mno, ambacho wale washami walihisi ni maelfu ya majeshi, kumbe ni watu wenye ukoma wasiozidi 10, wagonjwa 10 Mungu alifanya wawe na nguvu kubwa mno ya utiisho kwa adui zao.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Ila kiuhalisia hizo huwa ni tunz za kufundishia namna bora ya kumwabudu Mungu. Ukiangalia matukio ya wayahudi wanavyojipigania leo na walivyoangamizwa na Hitra na wao ndo wateuliwa nagundua kwenye biblia kuna tunzi nyingi
 
Mkuu Mungu anapigana kutumia watu, Wayahudi wanapambana kuishi pale mashariki ya kati siyo kwasababu ya uwezo wao Bali ni uweza wa Mungu, uweza au uwepo wa Mungu unajionesha kupitia matendo au matokeo ya kile wanadamu wanafanya. Unaweza kusema wameweza kwa vile wamesaidiwa na USA, ndiyo na ayo ndiyo maajabu ya Mungu anakutengenezea msaada pasipo na msaada ili uweze kumshinda adui yako.
 
Back
Top Bottom