Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtazamo ambao sio sahihi.Hiyo ni dalili mbaya ya vita.Mpaka hapo nafikiri tukubaliane tu kwamba wale wanaosema urusi anafanya demilitarization huko Ukraine wanaota ndoto ya mchana
⚡Military intelligence spokesperson Andrii Yusov said in an interview with Radio NV on Sept. 20 that he cannot confirm nor deny Ukraine's role in a strike against Wagner-backed militia in Sudan.
However, he said that the incident signals decreasing Russian influence in Africa and is a consequence of Moscow's criminal activities.⚡
Urusi akiamua kupiga balozi za Ukraine ajiandae na yeye balozi zake kupigwa maana sasa hivi palipofikia ni piga nikupige. Kama jamaa wanapiga mpaka Kremlin itakua huko kwenye balaziNi mtazamo ambao sio sahihi.Hiyo ni dalili mbaya ya vita.
Kama ni kweli basi Ukraine walitumia droni na uwezekano ni kwamba hawakuzirusha kutoka Ukraine bali walisafiri nazo mpaka Sudan halafu ndio wakachagua maeneo ya kupiga.Vyenginevyo walipewa coordinates na US na zikarushwa kutoka vituo vya US vilivyopo Djibot au maeneo ya nchi za kiarabu.Hicho ni kitu kidogo sana kwa Urusi ikiamua.Kwanza ana washirika karibu na maeneo ya US au pia anaweza akarusha droni na kupiga hata balozi za Ukraine zilizo nchi nyengine.
ndio tukasema dalili ni mbaya.Hapo zamani waliokuwa na uwezo wa kupiga mbali ilikuwa ni wababe wachache.Sasa wengine wadogo wakikasirika wanaweza kupiga mpaka ikulu.Urusi akiamua kupiga balozi za Ukraine ajiandae na yeye balozi zake kupigwa maana sasa hivi palipofikia ni piga nikupige. Kama jamaa wanapiga mpaka Kremlin itakua huko kwenye balazi
Ni mtazamo ambao sio sahihi.Hiyo ni dalili mbaya ya vita.