Ukraine wakamata mtandao wa majasusi wa wanawake waliokua wanaisadia Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwenye vita kuna mengi sana, yaani mtandao wa wanawake ambao kazi yao ilikua kutuma taarifa Urusi.....

Ukraine claimed to have dismantled an all-female spy network operating in the Donetsk region, which allegedly had been leaking information to Russia’s intelligence services and Wagner Group mercenaries.

“The group consisted exclusively of local women who supported Russia’s armed aggression against Ukraine,” the Security Service of Ukraine, known as the SBU, said in a statement Tuesday.

The SBU said that its Counterintelligence unit has arrested three women, all living in the city of Pokrovsk, as they were “conducting reconnaissance.”

Ukrainian investigators also allegedly identified a senior member of the spy ring, who at the beginning of the war relocated to Russia to coordinate her “team” remotely.

According to the SBU, all four intelligence assets had been recruited by the Russians before the war “and until recently were on standby.”
 
Wenye akili njema wanacheza naye tu.Hiyo Inaitwa zubaisha-bwege!Atajua hajui hadi tumkute kajificha kwenye kalavati/culvert!
Nashangaa kuna watu wanamwona Putin shujaa haha...
Yaani ameachwa ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe.

Ukipigana na bonge wewe kwepa ngumi zake wala usimpige, msubirie ajichokee kwanza
 
Anajifananisha na mabeberu.Ngoja wamtwange pembe hadi aimbe hallelujah!
Kitu kimoja ambacho kitammaliza...uchumi utayumba kuliko wakati wowote.

Maamuzi ya Putin kiuchumi ni sawa na Jiwe tu ambaye katuachia misala ya kufa mtu.

Jamaa vile vikwazo vitamuua.
Vitani kila siku anatumia mabilioni.

Hizo pesa badala ya kuhudumia raia, abaziunguza vitani kila siku.

Hivi washabiki wa Putini wanaelewa hata thamani ya mtupo mmoja wa kombora ni kiasi gani cha pesa?
 
Jamaa vile vikwazo vitanuua.
Vitani kila siku anatumia mabilioni.

Hixo pesa badala ya kuhudumia raia, abaziunguza vitani kila siku.

Hivi washabiki wa Putini wanaelewa hata thamani ya mtupo mmoja wa kombora ni kiasi gani cha pesa?
Hayo yote wazungu/NATO ndiyo wanataka.Wanataka ajilegeze na ashindwe mwenyewe hadi uchumi uwe in a paralitical movement!And,you eventually die!
 
Namshangaa eti naye anajitanua Afrika alete na misaada wakati wenzake wanaungana kuchangia silaha wandunde...snachukulia poa, hashtuki kuwa ka nchi alichopanga kukapiga wiki 3 sasa anaelrkea mwaka wa tatu bafo kanadunda
 
Kitu kimoja ambacho kitammaliza...uchumi utayumba kuliko wakati wowote.

Maamuzi ya Putin kiuchumi ni sawa na Jiwe tu ambaye katuachia misala ya kufa mtu.

Jamaa vile vikwazo vitamuua.
Vitani kila siku anatumia mabilioni.

Hizo pesa badala ya kuhudumia raia, abaziunguza vitani kila siku.

Hivi washabiki wa Putini wanaelewa hata thamani ya mtupo mmoja wa kombora ni kiasi gani cha pesa?
Misala gani jiwe katuachia au umeamini propaganda za mafisadi wanaoiba sasahivi na kuwaaminisha unafiki
 
Hayo yote wazungu/NATO ndiyo wanataka.Wanataka ajilegeze na ashindwe mwenyewe hadi uchumi uwe in a paralitical movement!And,you eventually die!
We usisahau ana nyuklia , hiyo ni last resort ikiwa West itampush to the wall itakua lose lose situation
 
Kwenye vita kuna mengi sana, yaani mtandao wa wanawake ambao kazi yao ilikua kutuma taarifa Urusi.....

Ukraine claimed to have dismantled an all-female spy network operating in the Donetsk region, which allegedly had been leaking information to Russia’s intelligence services and Wagner Group mercenaries.

“The group consisted exclusively of local women who supported Russia’s armed aggression against Ukraine,” the Security Service of Ukraine, known as the SBU, said in a statement Tuesday.

The SBU said that its Counterintelligence unit has arrested three women, all living in the city of Pokrovsk, as they were “conducting reconnaissance.”

Ukrainian investigators also allegedly identified a senior member of the spy ring, who at the beginning of the war relocated to Russia to coordinate her “team” remotely.

According to the SBU, all four intelligence assets had been recruited by the Russians before the war “and until recently were on standby.”
Waongo sana hawa including wewe, mkikosa cha kudanganya mnakimbilia kwenye sites za wabobezi wa propaganda za Alinacha za huko Ukraine, UK na USA mbona zinajulikana na matrol wao wanalipwa vizuri na handler wao kama vile - MSN, pravda.au etc.

Chunguza kwa umakini habari zinazo letwa na hasa MK-254 they always seems to run out of sync, ie anayo yafafanua na yaliyo kuwa filed na war correspondent mara nyingi ni vitu viwili tofauti vya kizushi tu hasa vya MK-254- anajaribu kuzuga watu wakubaliane. na maoni yake hata kama hayana mantiki hata kidogo.

Chukulia mfano wa taifa la Ukraine ambalo raia wake wanateketezwa kwa maelfu, na taifa wakiulizwa hivi huyu Senselessky amewafikisha mpaka kwenye zahama hizi why dont you do something? Wanakwambia wamesubiri F-16 kutoka Merikana zimalize kazi, mkiwambia mbona Patriot, Challenger, Leopard vingine havijaleta matokeo chanya - hapo hawajibu kitu wanakaa kimya kama mazezeta vile!!!
 
Naona leo umejua kuandika vizuri, umezingatia alama za uafikishaji, na pia umetenganisha aya ipasavyo, tatizo haujapunguza hasira sheikh, hivi vita vitakusababishia msongo wa mawazo bure.
 
Back
Top Bottom