Ukraine wakinukisha Kharkiv pia, HIMARS zachana anga

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Haya maeneo yanaendelea kumtoka Mrusi puani, kajiingiza kwenye nchi ya watu kijinga jinga....
Silaha za Korea Kaskazini hazitomsaidia kitu...

Russian Telegram channels are lighting up with reports of Ukrainian attacks near the city of Balakliia in Kharkiv Oblast.


Serhiy Leshchenko, an adviser to Ukrainian President Volodymyr Zelensky's chief of staff, said he expected Kyiv to announce "great news" about its counter-offensive in the eastern Kharkiv region on Tuesday evening, Reuters reported. He did not give further details.
The Kharkiv Oblast, in northeast Ukraine, "is on the far end of the front line from the southern Kherson region, which Ukraine last week announced as the focus of a push to retake territory."

"Tonight there is going to be great news from President Zelenskiy on (the) counteroffensive operation in Kharkiv region," Leshchenko said on Twitter.
 
Iran wamempa jibu kwamba silaha zao hawatoi ni vile ana haha kama mbwa mwitu sasa, huko North Korea nako tafran tupu, Korea Kusini na Marekani wanapiga zoezi la kufa mtu kiduku mavi kitambaani
Huu upepo unaovuma kwa sasa unaweza kumaliza utawala wa kidikteta wa ukoo wa Kim huko NK. Naona kama wababe wanataka kuua ndege wawili kwa Jiwe moja.
 
Huu upepo unaovuma kwa sasa unaweza kumaliza utawala wa kidikteta wa ukoo wa Kim huko NK. Naona kama wababe wanataka kuua ndege wawili kwa Jiwe moja.
Ongezea nyama kidogo upepo gani huo.....make sisi wengine tuko nyuma balaa
 
Mna fikiri Super Power Russia atayaachia maeneo aliyoteka ama hizo Himars za misaada ziyasaidia lolote? Niwasaidie Jambo hapa, Russia anaweza angamiza kabisa Ulaya.
Ulaya mbali Sana,Mwambie Urusi arushe hata Rocket pale Latvia au Lithuania uone Moto wake.Tangu mwaka 1949,Article 5 ya NATO haijawahi kujaribiwa tuone kitakachotokea. Hata sisi tunatamani Urusi arushe japo Kombola kwenye nchi mwanachama wa NATO ili tujue kweli NATO inaiogopa Urusi au laa. Mpaka Sasa tunachojua Ni kwamba Licha ya Poland kupitisha Silaha kwenda Ukraine waziwazi lakini Urusi hajathubutu kupiga hata Kombola huko Poland. Kwahiyo Mpaka Sasa Unafikili ingelikuwa Poland sio mwanachama wa NATO si Urusi ingelikuwa imeshaishambulia? Mpaka Lithuania anaivimbia Urusi kweli? Najua Ni kwasababu Lithuania Ni mwanachama wa NATO.Si unaona akina Moldova na Georgia wanavyotishiwa na Urusi siku za hivi karibuni? Kwasababu Georgia na Moldova sio wanachama wa NATO.
 
Hii nguvu ya US hapa ulimwenguni sio ya kitoto.
 
Article 5 haijajaribiwa una uhakika?
2020 Iran iliipiga kwa makombora kambi za Marekani ( NATO)kule Iraq.
2012 Syria ilitungua helicopter kadhaa za kituruki ( NATO) katika kile kilichoitwa uchokozi.
Kumbuka TU kwamba kambi yoyote ya US ya ugenini I we Ujerumani, au saudia ikipigwa Ni Kama Marekani yenyewe imeguswa.
Kwanini article five haijatumika.
 
Kharkiv ndio sehemu ilidhaniwa counter offensive itaanzia. Build up ilikuwa kule na ilidhaniwa Ukraine atafanya shambulizi sehemu mojawapo, baada ya August counter offensive ikaonekana Kharkiv itaachwa kwanza kumbe surprise. Hawa wapiganaji na reinforcements za kupigana fronts zote Ukraine inao kweli au inakuaje. Maana inabidi uwe na uwezo wastani wa three times ya defensive opponent, kama ana wapiganaji 10,000 ukienda mshambulia nenda na 30,000 maana ana vitu kama trench, landmines na defensive lines.

Ukraine ina wanajeshi nje wanafundishwa hasa na UK ila wale ni wataalamu kama artillery men. Ndani ya nchi maeneo ya kupakana na Poland labda ndio kuna mafunzo ya kuleta wapiganaji wapya
 
Umeongea kisomi mkuu .
 
Unaongea pumba NATO wenyewe wanaogopa kukutana USO Kwa Uso na Russia na kila siku wanalisema hili.kuhusu kuwapa silaha huwezi kumpangia Ukraine mahali pa kuchukua silaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…