Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Mna fikiri Super Power Russia atayaachia maeneo aliyoteka ama hizo Himars za misaada ziyasaidia lolote? Niwasaidie Jambo hapa, Russia anaweza angamiza kabisa Ulaya.
Rais wa Ukraine athibitisha wanajeshi wa Ukraine wachukua Kharkiv
NATO ilianzishwa na Marekani ili azilinde nchi za uko na Urusi, tangu zaman Urusi anapenda sana kuvionea vinchi vidogo, ndo Marekani akaanzisha NATO ili azilindeUlaya mbali Sana,Mwambie Urusi arushe hata Rocket pale Latvia au Lithuania uone Moto wake.Tangu mwaka 1949,Article 5 ya NATO haijawahi kujaribiwa tuone kitakachotokea. Hata sisi tunatamani Urusi arushe japo Kombola kwenye nchi mwanachama wa NATO ili tujue kweli NATO inaiogopa Urusi au laa. Mpaka Sasa tunachojua Ni kwamba Licha ya Poland kupitisha Silaha kwenda Ukraine waziwazi lakini Urusi hajathubutu kupiga hata Kombola huko Poland. Kwahiyo Mpaka Sasa Unafikili ingelikuwa Poland sio mwanachama wa NATO si Urusi ingelikuwa imeshaishambulia? Mpaka Lithuania anaivimbia Urusi kweli? Najua Ni kwasababu Lithuania Ni mwanachama wa NATO.Si unaona akina Moldova na Georgia wanavyotishiwa na Urusi siku za hivi karibuni? Kwasababu Georgia na Moldova sio wanachama wa NATO.
Ivi unajua unachokiandika au umedandia tu tren kwa mbeleArticle 5 haijajaribiwa una uhakika?
2020 Iran iliipiga kwa makombora kambi za Marekani ( NATO)kule Iraq.
2012 Syria ilitungua helicopter kadhaa za kituruki ( NATO) katika kile kilichoitwa uchokozi.
Kumbuka TU kwamba kambi yoyote ya US ya ugenini I we Ujerumani, au saudia ikipigwa Ni Kama Marekani yenyewe imeguswa.
Kwanini article five haijatumika.
Kwa NATO ipi?Ulaya mbali Sana,Mwambie Urusi arushe hata Rocket pale Latvia au Lithuania uone Moto wake.Tangu mwaka 1949,Article 5 ya NATO haijawahi kujaribiwa tuone kitakachotokea. Hata sisi tunatamani Urusi arushe japo Kombola kwenye nchi mwanachama wa NATO ili tujue kweli NATO inaiogopa Urusi au laa. Mpaka Sasa tunachojua Ni kwamba Licha ya Poland kupitisha Silaha kwenda Ukraine waziwazi lakini Urusi hajathubutu kupiga hata Kombola huko Poland. Kwahiyo Mpaka Sasa Unafikili ingelikuwa Poland sio mwanachama wa NATO si Urusi ingelikuwa imeshaishambulia? Mpaka Lithuania anaivimbia Urusi kweli? Najua Ni kwasababu Lithuania Ni mwanachama wa NATO.Si unaona akina Moldova na Georgia wanavyotishiwa na Urusi siku za hivi karibuni? Kwasababu Georgia na Moldova sio wanachama wa NATO.
Rudi kapitie taarifa za wataalamu wa vita upya mkuuHii nguvu ya US hapa ulimwenguni sio ya kitoto.
Which God?God is fighting for Ukrainians against Russia
Hii ni lugha ya Teja Zelensky kupata msaada zaidi ...ili oneksne kuwa anashughulika ...anajitahidi kubweka ...muda uraleta majibu ya hiyo counter offebsive inayopigwa kalenda ...tangu May ...something big will happen in August [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ...August hiyooo ikapita ...Kharkiv ndio sehemu ilidhaniwa counter offensive itaanzia. Build up ilikuwa kule na ilidhaniwa Ukraine atafanya shambulizi sehemu mojawapo, baada ya August counter offensive ikaonekana Kharkiv itaachwa kwanza kumbe surprise. Hawa wapiganaji na reinforcements za kupigana fronts zote Ukraine inao kweli au inakuaje. Maana inabidi uwe na uwezo wastani wa three times ya defensive opponent, kama ana wapiganaji 10,000 ukienda mshambulia nenda na 30,000 maana ana vitu kama trench, landmines na defensive lines.
Ukraine ina wanajeshi nje wanafundishwa hasa na UK ila wale ni wataalamu kama artillery men. Ndani ya nchi maeneo ya kupakana na Poland labda ndio kuna mafunzo ya kuleta wapiganaji wapya
Na hilo la mafunzo ...Jeshi la Ukraine limekuwa mafunzoni tangu 2014 ...lilijisndaa kuja kuleta chokochokobsema Kamanda Putin akawalia yiming na sasa wanasagwa taratibu ...Kharkiv ndio sehemu ilidhaniwa counter offensive itaanzia. Build up ilikuwa kule na ilidhaniwa Ukraine atafanya shambulizi sehemu mojawapo, baada ya August counter offensive ikaonekana Kharkiv itaachwa kwanza kumbe surprise. Hawa wapiganaji na reinforcements za kupigana fronts zote Ukraine inao kweli au inakuaje. Maana inabidi uwe na uwezo wastani wa three times ya defensive opponent, kama ana wapiganaji 10,000 ukienda mshambulia nenda na 30,000 maana ana vitu kama trench, landmines na defensive lines.
Ukraine ina wanajeshi nje wanafundishwa hasa na UK ila wale ni wataalamu kama artillery men. Ndani ya nchi maeneo ya kupakana na Poland labda ndio kuna mafunzo ya kuleta wapiganaji wapya
Kudhihitisha hilo ...they threw everything on Russia ..except sending troops to UkraineUnaongea pumba NATO wenyewe wanaogopa kukutana USO Kwa Uso na Russia na kila siku wanalisema hili.kuhusu kuwapa silaha huwezi kumpangia Ukraine mahali pa kuchukua silaha.
Eti mji umekombolewa ..bendera inatwekwa kwenye paa la banda fulani ...kama mwanaume atuonyeshe video wakiweka bendera town square ama kwenye authority blg yoyoteKiy vha
May be in his wild dreams - ukimsikiliza Zelensky ni burudani tosha, sina shaka na ubwiaji wake wa unga unachangia katika njozi zake.
Kwani atayaachiwa kwa kupenda?bali unalazimishwa!!Russia hana uwezo huo eti kuiangamiza ulaya!!!unafikiria ulaya ni CAR?,Mna fikiri Super Power Russia atayaachia maeneo aliyoteka ama hizo Himars za misaada ziyasaidia lolote? Niwasaidie Jambo hapa, Russia anaweza angamiza kabisa Ulaya.
Mbwiaji kawasotesha kutoka siku 3 mpaka miezi dadeki wana dictatorship hoi[emoji23][emoji23]Kiy vha
May be in his wild dreams - ukimsikiliza Zelensky ni burudani tosha, sina shaka na ubwiaji wake wa unga unachangia katika njozi zake.
Wenzio wanasagwa viungo vya mwili wewe unafurahia huku propaganda za tejaMbwiaji kawasotesha kutoka siku 3 mpaka miezi dadeki wana dictatorship hoi[emoji23][emoji23]