Ukraine walipua makao makuu ya jeshi la wanamaji la Urusi pale Crimea - Black Sea Fleet headquarters

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ni mwendo wa kulipua lipua hapa na pale....

A drone strike has hit Russia’s Black Sea Fleet headquarters in the Crimea, Kremlin officials have confirmed.

Social media footage showed a plume of smoke arising from a location in Sevastopol on Friday evening, which is where the fleet is based.

Governor of Sevastopol, Mikhail Razvozhayev later confirmed on his Telegram channel that a drone had targeted the building.

As reported by Russia’s news agency, Tass, he said: “I am at the Black Sea Fleet’s headquarters now.

“A drone hit the roof here 25 minutes ago. Unfortunately, it was not downed. There are no casualties.”

CHANZO: MSN
 
There are no casualties. Ina maana wanatumia silaha afifu sana au wanashambulka kwa uoga mkubwa sana
 
Taja faida kuu 3 nchini Kenya zitokanazo na vita baina ya USA & NATO vs RUSSIA nchini UKRAINE jibu lako ni "SIJUI au HAKUNA".

Ukiitwa popoma kurubembe la kidunia unajaa mapovu [emoji13]
 
There are no casualties. Ina maana wanatumia silaha afifu sana au wanashambulka kwa uoga mkubwa sana
Lengo la Jeshi lolote Duniani sio Kuuwa Raia. Ukipiga Ghala la Silaha zenye uzito wa Tani 300 Ni Ushindi mkubwa kwenye medani za Kivita kuliko kuua Wanajeshi au Raia 200.

Ukraine Haina Silaha Nyingi ukilinganisha na Urusi,kwa maana hiyo,Ukraine anatakiwa kutumia Kombola moja Kuharibu Makombola 10 ya Urusi yaliyohifadhiwa (Ndicho anachokifanya Ukraine). Kwa upande mwingine,Urusi ana Makombola Mengi na ndio maana mengine yanajilipukia TU. Urusi anarusha Makombola mpaka 300 kwa Siku na Kuua wanajeshi 20 wa Ukraine(Hii Ni mbinu ya Vita vya majimaji).
 
Lini Urusi akakubali casualties, mataifa ya kijamaa huwa hovyo sana, mazungu yanajifia ila serikali inaficha na wanakubali tu hoi.....
Chanzo cha habari yoko ni kutoka Russia??
 
Wanaokaa/kulinda ghala la silaha ni raia?? Kwenye hilo ghala hakukuwa na wanajeshi walinzi??
Nina wasiwasi hii inaweza ikawa mojawapo y zile nyuzi pendwa za kujifariji
 
Lini Urusi akakubali casualties, mataifa ya kijamaa huwa hovyo sana, mazungu yanajifia ila serikali inaficha na wanakubali tu hoi.....
Huyo ana mtindio wa ubongo,hukutakiwa kumjibu,ni zezeta Fulani hivi hasiyejitambua
 
Chanzo cha habari kinarejea kutoka kwa mayor wa sevastopol ambaye amewekwa na warusi hapo. Hivyo jiongeze
Kwahiyo hiyo habari imetoka kwa mu- Ukrainian ambaye yupo urusi?? Ambaye amethibitisha no casualties🤣🤣🤣
 
Mkuu twende taratibu kwanza huyo mu ukraine amechaguliwa na urusi kwahyo unajua yuko kwa ajili ya interest ya nani

Pili hata mimi naamini kunaweza kuwa hakuna casualities lakini concerning pamoja na chanzo kinashangaa kwanin haijawa downed hyo drone pamoja na kwamba imepiga hq ya black sea fleet
Nadhani tutakuwa pamoja sasa iwe shabiki wa putin
 
Kwakifupi hiyo habari ni ya kizushi na ndio maana hata kwenye tv za kimangaribi hakuna. a. K. a. Uzi wa kujifariji
 
Back
Top Bottom