Ukraine walipua meli mbili za doria za Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hakuna kinaachwa, iwe nyambizi, meli za kijeshi au hata za doria, yaani matumizi ya drones ni raha sana, madogo wamekaa kwenye maofisini kazi yao kubonyeza bonyeza tu, wanacheza kama video games na kuchagua wapi pa kupiga.....

Ukraine's military said on Thursday it had damaged two Russian patrol ships in the Black Sea in a morning attack.

A report on Telegram said the attack took place in the southwest part of the Black Sea and had inflicted "certain damage."

Russia's defence ministry said it had detected and destroyed an uncrewed Ukrainian boat in the Black Sea, at a time when Ukrainian forces appear to be launching more regular attacks on Russian ships.
 
Ni dhahiri sasa Russia ipo wazi kwa Ukraine, Ukraine anachagua yeye mwenyewe kesho apige wapi aache wapi.
 
Hii dunia ina propaganda sana. Just imagine mwaka mmoja hivi uliopita tulikuwa tunadanganywa anga la Urusi linalindwa kiasi kwamba hata punje ya mchele inaonekana.Ila kwa sasa Ukraine anachagua pa kupiga, air defense za mchongo zimekufa kifo cha mende.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kinaachwa, iwe nyambizi, meli za kijeshi au hata za doria, yaani matumizi ya drones ni raha sana, madogo wamekaa kwenye maofisini kazi yao kubonyeza bonyeza tu, wanacheza kama video games na kuchagua wapi pa kupiga.....

Ukraine's military said on Thursday it had damaged two Russian patrol ships in the Black Sea in a morning attack.

A report on Telegram said the attack took place in the southwest part of the Black Sea and had inflicted "certain damage."

Russia's defence ministry said it had detected and destroyed an uncrewed Ukrainian boat in the Black Sea, at a time when Ukrainian forces appear to be launching more regular attacks on Russian ships.
Kama uwezi kutofautisha kati ya kuzamisha Meli na ku-damage who can take you seriously?? unapenfa sana ku exaggerate masuala ya uwezo wa jeshi la Ukraine..
 
Wacha hasira sheikh kwa wiki moja Ukraine wamelipua sub marine, meli moja na boats mbili za doria, utapata presha aise.
Pia maeneo yamekombolewa, Warusi wamezingirwa, yaani mafanikio mengi hadi naumwa.

Hii nyingine nimepost muda huu Ukraine wapiga meli nyingine ambayo hutumika kusafirisha mizinga ya Urusi
 
Back
Top Bottom