Ukraine Washambulia Ndege Ya Kisasa Kabisa Na Ghali Ya Urusi Chapa Su-57

Ukraine Washambulia Ndege Ya Kisasa Kabisa Na Ghali Ya Urusi Chapa Su-57

Sukhoi SU-57

Sukhoi_Design_Bureau,_054,_Sukhoi_Su-57_(49581303977).jpg
 
Safi!Imenyesha tumeona panapovuja.katika vita hii yameonekana madhaifu ya Ukraine kama rushwa,ufisadi na undumilakuwili wa raia wake.
Pia tumeona madhaifu ya Urusi kama ufikadi,rushwa,udikteta na tekinolojia ya kawaida ya siraha(kuzamishwa meli zao,hypersonic za kubumba) bila kusahau mbinu mbovu za kivita.
 
Back
Top Bottom