Ukraine yapiga daraja mbili zilizokuwa zinatumika na Warusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii itasaidia pakubwa sana kuilemaza jeshi la Urusi lililopo ndani ya Ukraine....

The Department of Strategic Communications of Ukrainian Armed Forces has confirmed the strikes on the Chonhar and Henichesk automobile bridges.
Quote: "At around 15:00, Ukraine's Defense Forces struck the Chonhar and Henichesk automobile bridges, two key communication routes used by the occupiers."

Background:

Putin Haangalii Tena Ukraine kama Turufu yake
Amehamishia Karata zake Africa kwenye Ile Miradi Mikubwa ya Mahasimu wake
Angalia France alipoteza Ushawishi West Africa ndio Ujue Siafu Inayouma Kende Haiuwawi kwa nyundo.
 
Aje tu achukue hadi na bandari zetu, hiyo sio tatizo ila kwa sasa usupapawa wake kule kwa Wazungu wenzake umeisha, na sio tegemezi tena la Waarabu kwenye ugaidi wao wa kidini....
Sisi miafrika tunafahamika kwenye kuachia kila kitu kwa anayekuja, hivyo hilo sio jipya.
 
Tatizo ni kukubali kuondozwa na watu wanaoridhika kwa kibaba cha kunde.
 
Aje tu achukue hadi na bandari zetu, hiyo sio tatizo ila kwa sasa usupapawa wake kule kwa Wazungu wenzake umeisha, na sio tegemezi tena la Waarabu kwenye ugaidi wao wa kidini....
Sisi miafrika tunafahamika kwenye kuachia kila kitu kwa anayekuja, hivyo hilo sio jipya.
We dogo Mrusi vita kisha washinda Nato we baki kuuza maneno ya kanga hapa.

Ukraine hajakomboa miiji aliyo Ikalia Mrusi hauzi ngano hana tena bandari hana tena Airport afu unasema anashinda vita 😂

Akirusha vidrone vina piga ka apartment kamoja kwenye yale majumba ya high skyscraper yeye anapokea kipigo cha kuvurugiwa miji yake afu unasema anashinda 😂
 
Hii itasaidia pakubwa sana kuilemaza jeshi la Urusi lililopo ndani ya Ukraine....

The Department of Strategic Communications of Ukrainian Armed Forces has confirmed the strikes on the Chonhar and Henichesk automobile bridges.
Quote: "At around 15:00, Ukraine's Defense Forces struck the Chonhar and Henichesk automobile bridges, two key communication routes used by the occupiers."

Background:

Mpaka kati ya Urusi na Ukraine ni zaidi ya km 4000....yaani Dar-Mwanza mara 4...wewe utoboe madaraja mawili...useme umethibiti watu na vifaa kupita....??Hapa kuna akili au hisia
 
Nilidhan daraja mbili Arusha kumbe madaraja mawili.
 
We dogo Mrusi vita kisha washinda Nato we baki kuuza maneno ya kanga hapa.

Ukraine hajakomboa miiji aliyo Ikalia Mrusi hauzi ngano hana tena bandari hana tena Airport afu unasema anashinda vita 😂

Akirusha vidrone vina piga ka apartment kamoja kwenye yale majumba ya high skyscraper yeye anapokea kipigo cha kuvurugiwa miji yake afu unasema anashinda 😂

Siku akipigana na NATO atafutwa duniani, lijue hilo ustadhi...
 
Mpaka kati ya Urusi na Ukraine ni zaidi ya km 4000....yaani Dar-Mwanza mara 4...wewe utoboe madaraja mawili...useme umethibiti watu na vifaa kupita....??Hapa kuna akili au hisia

Jifunze jinsi vita hupiganwa, nini maana ya frontline, aliyekuambia wanapigana kwenye mpaka wote huo kakuponza sheikh.
 
Siku akipigana na NATO atafutwa duniani, lijue hilo ustadhi...
NATO kwani ni nani si ndio hao wanao mpa silaha na pesa hivi Ukraine angebaki kupigana mpaa mda huu kama hawapo NATO.

Hivi wewe u adhani NATO watafanya nini zaidi walicho fanya.
 
Wanampa Ukraine visilaha ambavyo Ukraine imeitumia vizuri sana kuilemaza Urusi na kuua wanajeshi zaidi ya laki mbili, yaani kainchi kadogo kamefanya yote hayo halafu unasema NATO waingie vitani, hiyo NATO humo kuna mataifa kadhaa ambayo yenyewe yana uwezo wa kuifuta Urusi bila kutegemea muungano.
 
Hizo akili zako pole sana we hujui kuwa Ukraine alikuwa ana nguvu kuliko hizo nchi za Nato zote isipikuwa US tu afu unasema Ukraine kanchi kadogo 😂

Ngojea vita vikisha ndio utajuwa siri zao nchi za Nato wanajeshi wao wengi wamezikwa Ukraine afu kuna nchi zitajitoa Nato we tuliza ball ukisha pata akili utagundua haya
 
Ona vitu mnaaminishana huko ndio ujue huwa mnatia aibu ustadhi, Ukraine inazidiwa hata na Misri kwenye military power index na leo imeilemaza Urusi mpaka raha.
Hao Warusi kwa sasa hawana jipya, hamieni kwa Kim....
 
Back
Top Bottom