Ukraine yazika watu kwenye kaburi moja

Ukraine yazika watu kwenye kaburi moja

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Kutokana na mzozo unaoendelea, Naibu Meya wa #Mariupol, Sergei Orlov amesema hawawezi kujua idadi halisi ya waliofariki kutokana na mashambulizi japo idadi inakadiriwa kuwa 1,300

Ili kupunguza maiti mtaani, uongozi wa jiji umechimba mfereji wa urefu wa mita 22 na kuzika maiti kwa pamoja zikiwa katika mifuko ya plastik au mablanketi.

Tangu Jumanne wananchi wameshindwa kupata huduma za maji na Umeme. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba amesema raia 300,000 wametekwa na vikosi vya Urusi

====
Disturbing photos show bodies being lowered into a mass grave in the besieged city of Mariupol, southern Ukraine on Wednesday.
The images from the Associated Press show men, some dressed in overalls or blue protective suits, placing bodies into a trench. In some photos, the corpses are in body bags, but others are wrapped only in what appear to be blankets.

The city has been under attack for days, bombarded and isolated by Russian forces.

At least 1,300 civilians have been killed in Mariupol since the Russian invasion began, an adviser to the city's mayor said Wednesday.
Some of the bodies are in body bags, but others are wrapped only in what appear to be blankets.

Some of the bodies are in body bags, but others are wrapped only in what appear to be blankets. (Evgeniy Maloletka/AP)
Residents have been cut off from water and electricity and on Tuesday Ukraine's Foreign Minister accused Russia of committing war crimes by holding 300,000 civilians “hostage.

"Really, we can't calculate how many deaths we have — I mean three to four times more. We are not even able to count how many people on the streets have been killed by bombing and artillery," Mariupol's deputy mayor, Sergei Orlov told CNN.
"We do not know how many, because we cannot collect all the bodies and we cannot count."
To deal with the sheer number of bodies, city workers dug a deep trench over 75 feet (22 meters) long inside a graveyard and laid to rest the bodies of soldiers and civilians who had been killed during repeated attacks by Russian forces.

Evgeniy Maloletka, a photojournalist with the AP who captured the scene, said some of the bodies are "brought wrapped in carpets or plastic bags." "Forty came Tuesday, another 30 so far Wednesday," he added.
 
Vita ni vita tu huwezi ukategemea a walkover. Ina maana warusi wamekuwa desperate sana na sasa wanaua tu chochote kile wanachoona machoni.

Kwa msuli wao wa kijeshi mwanzoni walijua ndani ya siku tatu hivi wangekuwa wamemaliza kazi na sasa wangekuwa wanakunywa tu Vodka na kula kiti moto sasa matokeo yake kuna ndege zinaingia Moscow usiku 🌃 na miili ya wanajeshi waliokufa vitani Ukraine.

Wiki mbili zimemalizika na kushika jiji lolote na kulikalia imekuwa ndoto huku vifo na majeruhi vikizidi kuongezeka.

It's very unfortunate and terrible to the belligerent state which originally anticipated for a mere walkover to be struggling to force its dream to materialize.
 
nani aliwahi kumaliza kazi ndani ya siku 3?
 
Mrusi hakutaka kushambulia raia wasiokua na hatia ila hao wanajeshi wa ukraine wanalazimisha kujificha kwa raia............vita inapoelekea mrusi sasa atashambulia chochote mbele yake maana huruma yake ndo inamponza
 
Mrusi hanaga kitu kinaitwa huruma, inaonekana hujui kabisa historia ya hao watu toka kwenye vita hadi kwenye ubaguzi wa rangi.
 
Mrusi hakutaka kushambulia raia wasiokua na hatia ila hao wanajeshi wa ukraine wanalazimisha kujificha kwa raia............vita inapoelekea mrusi sasa atashambulia chochote mbele yake maana huruma yake ndo inamponza
Kuna ndugu yangu moja sasa hivi ni marehemu, alipelekwa na serikali nchini Urusi (USSR) mwishoni mwa miaka ya sabini kusomea utaalamu wa miamba (Geology) na walikuwa katika mji wa Leningrad (leo hii inaitwa St Petersburg).

Alikuwa akitusimulia kwamba mrusi akiwa roommate wako chuoni halafu akufanyie udokozi kisha umuulize kistaarabu tu kwamba bwana kuna kitu changu fulani kulikuwa hapa lakini sikioni vipi unaweza ukawa umekichukua?

Akishakwambia sijakiona, unatakiwa uachane naye kuokoa roho yako kwani ukiendelea kubishana naye kwamba mbona tuko wawili tu humu na wewe, tayari inakuwa ni vita kabisa ameshachomoa kabisa "Kitchen Knife 🔪) anakutoa utumbo usipokimbia.

Alisema kuna wanigeria watatu (moja akiwa mwanamke) na mkenya moja na mzambia moja waliuwawa katika mazingira hayo.

Alituambia kwamba mrusi kuua mtu mweusi ni sekunde na wala usitegemee kwamba atafanywa chochote na mamlaka, haitapita hata mwezi atakuwa ameshaachiliwa huru.
 
Hata wa magharibi matukio kama hayo yapo tu ya kutosha......kaulize watu weusi huko US na UK
 
Sijasema hayapo ila kwa hapa naongolea kwa mukhtadha wa Russia kwani naona kuna wengine hawaelewi kwani watanzania wengi ni watu wa kukariri tu mambo, hawana upeo mpana wa maswala ya kimataifa.
 
kwa sasa kipendacho roho.....................muvi lije tu
 
Back
Top Bottom