Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi kusikiliza clip yote kabla ya kufanya comment yako.Huyu mchungaji wa Kenya katoa ushuhuda na kupongeza Wakristo kwamba ndo njia peke ilio baki kunusuru dunia hi, msikilize kwa makini af ufanye comment yako kama ni kweli analo sema au laa, utowe na sababu za kukubali au kukata.View attachment 3231073
Ni ujinga kwa wale wasio jua dini zao ila ni heri kwa wale wanao jitambua na kuijua hizuri.Dini ni UJINGA Mkuu wa binadamu
We nae una dini!? tuambie dini yako ila isiwe ya kuletwa na waarabu wala wazunguNi ujinga kwa wale wasio jua dini zao ila ni heri kwa wale wanao jitambua na kuijua hizuri.
We vip ukuristo uliletwa na waarabu au na wazungu acha ubaguzi kila ni lazima kiwe na muanzilishi wote hatuwezi kua waazilishi.We nae una dini!? tuambie dini yako ila isiwe ya kuletwa na waarabu wala wazungu
Hapana kuna dini ambazo ni natural japo ziliazilishwa na wstu fulani, ila mafundisho yake ni nayural kwa kila binaadamu.Tukubali tu white people wametuweza na wanatuzidi kila kitu! wewe ndio mbaguzi kwasabu umeona dini za wazee wetu hazifai ukaamua uwakatae wazee uungane na watu weupe! au hujui maana ya dini!?