Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Siku hizi naona kama ratiba za mpira wa miguu zinaenda sawa katika Nchi nyingi duniani. Leo pale uwanja wa Ilulu Lindi mjini utapigwa mtanange wa kusaka timu itakayo wakilisha Nchi katika michuano ya kombe la shirikisho barani africa. Hope Azam atashinda maana Lipuli wanaweza shinda ukakuta wanakosa nauli yakwenda kucheza mechi za nje ya Nchi.
Usiku sasa kipute kikubwa kinakuwa zidi ya timu yangu majogoo wekundu wa Anflied zidi ya wagonga nyudo wa London Spurs Mtanange utapigwa pale Madrid kuanzia saa nne usiku saa za africa mashariki. Kwa wale wanaopenda kubeti hii mechi msibeti kabisa maana hii ngoma inaweza amliwa na matuta na kwa wale wanaopenda kubeti kwa both team score hii ngoma inaweza isha bilabila, kwahyo wadau twende taratibu kabisa.