Ukuaji na ukomavu wa #MfumoMagufuli - mumeanza kuelewa?

Ukuaji na ukomavu wa #MfumoMagufuli - mumeanza kuelewa?

Sam Naipenda

Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
97
Reaction score
720
wakuu wanabodi nawasalimu.

umepita muda kidogo sijashiriki mjadala humu lakini yote yako powa kabisa na sijatekwa kama wangine walivyodhani. tuko bize na safari ya kuhamia dodoma.

miezi kama 6 hivi imepita niliandika mada kuhusu ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe. mada iko kwenye uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads...gufuli-mwenyewe.1529873/page-12#post-29908123

nilieleza kwamba hatari kubwa tuliyonayo kama taifa kwa uongozi wa magufuli sio yeye mwenyewe tu kama kiongozi katili, jeuri, mwenye roho mbaya na asiyeeleweka bali ni mfumo anaotujengea kama taifa ambao utatugharimu kwa muda mrefu. hiki ndicho nilikiita #MfumoMgufuli au #MfumoJiwe. nilisema anajenga mfumo unaozalisha watu wakatili kwenye jamii, watu wajeuri, mfumo usiozingatia sharia, katiba na maadili yetu kama taifa. mfumo unaozuia mawazo huru na mawazo mbada. mfumo unaofanya wasomi waogope kutoa mfikra zao. mfumo unazalisha viongozi wa ajabuajbua. mfumo ambao viongozi wa dini wanatekwa na rais na wapambe wake na wanasahau wajibu wao wanabadilika kuwa wapongezaji na watetezi wake.

watu kadhaa walinishambulia kwamba niliandika hoja zangu kihisia nikionesha chuki kwa magufuli na sikua na hoja. leo nataka tu kuwauliza iwapo munaona kile nilichowaambia kinajengeka au badi hamuoni. labda niyataje machache yanayodhihirisha nilischosema kisha muniambie iwapo bado nilichosema ni chuki. bila shaka hadi sasa,

# mumeona watu aina ya kina musiba wakitukana hadharini na wakilindwa na serikali na kutetewa bungeni na mawaziri, wabunge wa ccm, na spika
# mumesikia huja kuu kwa sasa ya wabunge wa ccm kwenye bunge la bajeti na rais awe wa milele na kusiwe na uchaguzi
# mumesikia kule mbeya rc akitaka vyama vifutwe na tuwe na magufuli ruling party
# mumeona rais anavyoendelea kuabudiwa kama mfalme na hamujawahi kusikia hata siku moja akikemea wanvyofanya hivyo
# mumeona aina ya bunge tulionalo sasa linavyondelea kuwa kitukou. bunge butu, dhaifu, na lisilo na lolote jipya.
# munaona namna spika na naibu wake ambao wanapigana kuitetea serikali kuliko serikali inavyojitetea yenyewe.
# mueona vita vya kijinga vya ndugai na CAG kwa matakwa ya rais
# mumeona akina lema walivyodalilishawa na spika na inaonekana sawa tu
# mumeona rasi anavyoendelea kutengeneza muvi za kuwatukuza na kuwazawadia watu madaraka hasa wale wanaotekeleza matakwa yake ya ovyo na kikatili
# mumeona mahakama inavyoendeshwa na rais anavyoendelea kuitawala kupitia aina ya watu anaowateua kama majaji
# muonea mateso kwa wapinzani yanavyoshamiri na kuminywa kwa demokrasia
# munaona viongozi hasa wakuu wa wilaya na mikoa wanavyoendesha mambo
# muewasikia kina mwanri wakimtaka mungu amshukutu magufuli
# muona habari na maumivu ya vitambulisho vya raisi kwa wamachinga vinavyotesa na kuzalilisha wananchi
# mumeona utendaji wa jeshi la polisi ulivyo wa kikatili na kiupendeleo
# mumeona taratibu jeshi linavyochukua hatamu ya utumishi wa umaa na rais akitaka kila nafasi awepo mwanajeshi au polisi huku akiwaagiza watumie amri za kijeshi
# mumeona bunge linavyotawaliwa na wabunge sugu aliowaita mapoyoyo ambao ndio wamekua wasemaji wakuu wakipewa nafasi kila mara kuongea ili kukandamiza hoja za msingi na kuendeleza dhana ya kumtukuza raisi
# mumeona wakuu wa wilata waking'oa bendera za vyama vya upinzani
# mumeona hata iliyoitwa kimutano ya ndani ya vyama vya siasa kuwa halali sasa nayo inaingiliwa na polisi na kudhibitiwa
# mumeona wasomi walivyonyamaza na kupotea kama vile hawapo
# munasikiliza kauli za raisi, vitisho, na munaona ulinzi anaotembea nao
# munaona viongozi wa dini walivyotekwa kifikra na kuanza kuwa wapiga debe wa serikali na rais na wapambe wake
# wanayofanyiwa wafanyakazi tena kwa kauli za kikatili dhidi ya madai yao ya mishahara na maslahi mengine
# mumeona wanacmm wanavyoandika mitandaoni wazi watu falani wapigwe, wauawe au washughulikiwe na imekua sawa tu
# bmunasikia kauliza kina polepole kudhalilisha wapinzani kwa matusi na inakua sawa
# munaona viongozi wa ccm wa vijij na kata kwamba siku hizi wana mamlaka ya kumpa mari au kumfukuza kazi daktarin aliyesoma kwa ugumu na miaka mingi

huu ndio niliuuita #MfumoJiwe unaojengeka taratibu na unaoendelea kuzoeleka. mfumo unaologharimu taifa na kubadili aina ya nchi tuliyokua tunajenga.

niwaulize wale walionishambuliwa iwapo bado hamuioni hoja yangu juu ya ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe?

Sam
 
Giza likizidi jua mapambazuko yamekaribia
Sio kama mfumo JIWE umeshakita mizizi kama mfumo wa Bashir bt now Bashir yupo wap

Let me tell you jiwe aweza kijichanganya kidogo tu lkn reaction ya wananchi ikawa kubwa Bashir katolewa kisa MKATE tu kupanda bei
 
wakuu wanabodi nawasalimu.

umepita muda kidogo sijashiriki mjadala humu lakini yote yako powa kabisa na sijatekwa kama wangine walivyodhani. tuko bize na safari ya kuhamia dodoma.

miezi kama 6 hivi imepita niliandika mada kuhusu ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe. mada iko kwenye uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads...gufuli-mwenyewe.1529873/page-12#post-29908123

nilieleza kwamba hatari kubwa tuliyonayo kama taifa kwa uongozi wa magufuli sio yeye mwenyewe tu kama kiongozi katili, jeuri, mwenye roho mbaya na asiyeeleweka bali ni mfumo anaotujengea kama taifa ambao utatugharimu kwa muda mrefu. hiki ndicho nilikiita #MfumoMgufuli au #MfumoJiwe. nilisema anajenga mfumo unaozalisha watu wakatili kwenye jamii, watu wajeuri, mfumo usiozingatia sharia, katiba na maadili yetu kama taifa. mfumo unaozuia mawazo huru na mawazo mbada. mfumo unaofanya wasomi waogope kutoa mfikra zao. mfumo unazalisha viongozi wa ajabuajbua. mfumo ambao viongozi wa dini wanatekwa na rais na wapambe wake na wanasahau wajibu wao wanabadilika kuwa wapongezaji na watetezi wake.

watu kadhaa walinishambulia kwamba niliandika hoja zangu kihisia nikionesha chuki kwa magufuli na sikua na hoja. leo nataka tu kuwauliza iwapo munaona kile nilichowaambia kinajengeka au badi hamuoni. labda niyataje machache yanayodhihirisha nilischosema kisha muniambie iwapo bado nilichosema ni chuki.

#bila shaka mumeona watu aina ya kina musiba wakitukana watu hadharini na wakilindwa na serikali na kutetewa bungeni na mawaziri, wabunge wa ccm na spika
#bila shaka mumesikia huja kuu kwa sasa ya wabunge wa ccm kwenye bunge la bajeti na rais awe wa milele na kusiwe na uchaguzi
#bila shaka mumesikia kule mbeya rc akitaka vyama vifutwe na tuwe na magufuli ruling party
#bila shaka mumeona rais anavyoendelea kuabudiwa kama mfalme na hamujawahi kusikia hata siku moja akikemea wanvyofanya hivyo
#bila shaka mumeona aina ya bunge tulionalo sasa linavyondelea kuwa kitukou. bunge butu, dhaifu, na lisilo na lolote jipya.
#bila shaka munaona namna spika na naibu wake ambao wanapigana kuitetea serikali kuliko serikali inavyojitetea yenyewe.
#bila shaka mueona vita vya kijinga vya ndugai na CAG kwa matakwa ya rais
#bila shaka mumeona akina lema walivyodalilishawa na spika na inaonekana sawa tu
#bila shaka mumeona rasi anavyoendelea kutengeneza muvi za kuwatukuza na kuwazawadia watu madaraka hasa wale wanaotekeleza matakwa yake ya ovyo na kikatili
#bila shaka mumeona mahakama inavyoendeshwa kwa sasa na rais anavyoendelea kuitawala kupitia aina ya watu anaowateua kama majaji
#bila shaka muonea mateso kwa wapinzani yanavyoshamiri na kuminywa kwa demokrasia
#bila shaka munaona viongozi hasa wakuu wa wilaya na mikoa wanavyoendesha mambo
#bila shaka muewasikia kina mwanri wakimtaka mungu amshukutu magufuli
#bila shaka muona habari na maumivu ya vitambulisho vya raisi kwa wamachinga vinavyotesa na kuzalilisha wananchi
#bila shaka mumeona utendaji wa jeshi la polisi ulivyo wa kikatili na kiupendeleo
#bila shaka mumeona taratibu jeshi linavyochukua hatamu ya utumishi wa umaa na rais akitaka kila nafasi awepo mwanajeshi au polisi huku akiwaagiza watumie amri za kijeshi
#bila shaka muona bunge linavyotawaliwa na wabunge sugu aliowaita mapoyoyo ambao ndio wamekua wasemaji wakuu wakipewa nafasi kila mara kuongea ili kukandamiza hoja za msingi na kuendeleza dhana ya kumtukuza raisi
#bila shaka mumeona wakuu wa wilata waking'oa bendera za vyama vya upinzani
#bila shaka mumeona hata iliyoitwa kimutano ya ndani ya vyama vya siasa kuwa halali sasa nayo inaingiliwa na polisi na kudhibitiwa
#bila shaka mumeona wasomi walivyonyamaza na kupotea kama vile hawapo
#bila shaka munasikiliza kauli za raisi, vitisho, na munaona ulinzi anaotembea nao
#bila shaka munaona viongozi wa dini walivyotekwa kifikra na kuanza kuwa wapiga debe wa serikali na rais na wapambe wake
#bila shaka wanayofanyiwa wafanyakazi tena kwa kauli za kikatili dhidi ya madai yao ya mishahara na maslahi mengine
#bila shaka mumeona wanacmm wanavyoandika mitandaoni wazi watu falani wapigwe, wauawe au washughulikiwe na imekua sawa tu
#bila shaka munasikia kauliza kina polepole kudhalilisha wapinzani kwa matusi na inakua sawa
#bila shaka munaona viongozi wa ccm wa vijij na kata kwamba siku hizi wana mamlaka ya kumpa mari au kumfukuza kazi daktarin aliyesoma kwa ugumu na miaka mingi

huu ndio niliuuita #MfumoJiwe unaojengeka taratibu na unaoendelea kuzoeleka. mfumo unaologharimu taifa na kubadili aina ya nchi tuliyokua tunajenga.

niwaulize wale walionishambuliwa iwapo bado hamuioni hoja yangu juu ya ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe?

Sam
Operesheni futa kaskazini sasa imeshika kasi! jamii akisikia Masawe mushi, moshi, mbowe nk anapata kichefuchefu,. Kama Hitler alivyopania kufuta wayahudi kwenye uso wa dunia ndivyo alivyopania kuifuta jamii ya kaskazini. Trust me he has this evil motive@@@ Hebu ona alivyovunja nyumba pale kimara kulikokuwa kumejaa wanakaskazini. atawamaliza wote trust me. Halafu ni jizi lisilopenda watu waliumbue AMKENI plsssssssss
 
Back
Top Bottom