emmadeclassic
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 304
- 131
Niliondoka geita miaka miwili iliyopita, pakiwa ni pakawaida sana, lakini baada ya miaka miwili nimekuta gorofa za kutosha, nyumba za maana, mitaa ina lami, watu wanadrive ndinga kali kali, yani gari ya kawaida ni Crown Athlete, Range za mwaka 2021 za kutosha, vyuma vya Mjerumani ndo usiseme, Vits na IST za kuhesabu sana.
Hawa watu pesa wanatoa wapi? Ni migodi tu au kuna issues zingine?
Hawa watu pesa wanatoa wapi? Ni migodi tu au kuna issues zingine?