emmadeclassic
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 304
- 131
Hizo Gari kari zimeundwa hapk Geita? Kwa akili hizi za Waafrica wacha tuendelee kuwa masoko ya wenye akili, huwezi kuja hapa kusema kuendesha gari kari ni maendeleo, saaa wanao ziunda watasemaje? Hizi akili hiziNiliondoka geita miaka miwili iliyopita, pakiwa ni pakawaida sana, lakini baada ya miaka miwili nimekuta gorofa za kutosha, nyumba za maana, mitaa ina lami, watu wanadrive ndinga kali kali, yani gari ya kawaida ni Crown Athlete, Range za mwaka 2021 za kutosha, vyuma vya Mjerumani ndo usiseme, Vits na IST za kuhesabu sana.
Hawa watu pesa wanatoa wapi? Ni migodi tu au kuna issues zingine?
Take it in a positive way,Hizo Gari kari zimeundwa hapk Geita? Kwa akili hizi za Waafrica wacha tuendelee kuwa masoko ya wenye akili, huwezi kuja hapa kusema kuendesha gari kari ni maendeleo, saaa wanao ziunda watasemaje? Hizi akili hizi
Wamenishangaza , it's growing so fast...Wewe ndio ulikuwa mchawi watu wasifanikiwe [emoji2]umeondoka tu watu wamejenga maghorofa
Kwamba hizo ndo zimejaa dar??Ist,vizt na Passo tunawaachia wakazi wa Dar es salaam
Ndiyo.kwa dar ni mwendo wa ist tu kwa waliowengi.Kwamba hizo ndo zimejaa dar??