Ukuaji wa lugha ya kiswahili: Msamiati

Ukuaji wa lugha ya kiswahili: Msamiati

TALEI

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
49
Reaction score
6
Jamanii wadau ama kweli lugha ya kiswahili kila kunapokucha inazidi kukua na kuongeza msamiati.je wajua kuwa 'laptop' inaitwa ngamizi paja? Nisaidieni wadau msamiati wa kiswahili unaooshiria 'pasword'
 
niliwahi kuusikia lakini nimesahau, watatukumbusha hapa
 
kwa sasa tumia direct translation ya neno siri
 
Back
Top Bottom